President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,647
- 94,285
Yes. ExactlyHapa Tanzania tunataka kiwanda cha ku assemble Yutong kwa sasa maana tunanunua nyingi sana kwa mwaka
Yes. ExactlyHapa Tanzania tunataka kiwanda cha ku assemble Yutong kwa sasa maana tunanunua nyingi sana kwa mwaka
$42B project na hatupigi kelele wakati kina mwaiofhawaii project ya kuunnga unga ela waapiga kelele utadhan kulikua amna vumbi leo
View: https://www.instagram.com/p/Dey8E9djoPN/?img_index=2&xtok=NWR4aDF1NHM1ajU1
I am referencing Patrick wa spongebob ye huwa slow mbaya 😂Anaitwa Patrick?
You are delusional, the fact that are you making this about Kenya, like how?!🤣Kundi kubwa la wafuasi wa Chadema ndio limemwagwa mitandaoni kutoa maoni ya hivi pamoja na watu wanaopinga serikali kama ilivyokwa Ichoboy kwa sasa.
Hali hii ilikuwa hivi kipindi cha Magufuli kwa watu waliompinga Magufuli na ndio ilivyo kwa watu wanao mpinga Samia.
Binafsi nampinga sana Samia lakini siwezi kuwa muongo or kuja na data za kupika just kuipaka matope serikali ninayo ipinga. Nasifia wanapo fanya vyema na nakosoa wanapofanya vibaya.
Sasa kwa mjinga yeyote asiyejua or kafail kutambua siasa za Tanzania ataishia kujipa moyo na ujinga wa kuokota matamshi ya kijinga mitandaoni.
All-in-all, hakuna taifa lililo endelea watu wake wanakifa na njaa. Hakuna taifa lililo piga hatua kiuchumi lisolo jitosheleza kwa chakula. Hakuna taifa linaloweza toka handharani na kuwa proud na maendeleo kama ni taifa linalotegemea chakula cha msaada.
Kama taifa hili lipo, basi ni taifa la watu wapumbavu sana.
Hii mambo ya Dangote imewavuruga akili.Not who has but already has …🤣🤣🤣
View attachment 3696620
Dangote Refinery is an FDI. By the way talking of FDI, Kenyan FDI is 3* bigger than FDI ya Tanzania.Mwambie kuwa hii ni FDI, not like the fictitious equity financed refinery in that poor lamu.
The project was on long before Dangote afikirie kuhusu refinery in East Africa. Through Tanzania, Vittol gained access to markets in the neighbouring countries and supplied cheap fuel. The plan was for Vittol to invest in Tanga as an energy hub to supply all these markets, and Ruto was aware of this; it was a threat to the Kenyan economy, so he tried to sabotage the deal by roping in Dangote for the Tanga refinery, hoping TZ would bite the hook and cancel the arrangement with Vittol, but that was not the case; sasa ikabidi wahamie kwenye PR za Lamu refinery to rival Vittol's deal in Tanga.Mnaojua what went on behind the scene kwanini mnaongea kwa mafumbo? Una maana Vittol project was on before Kasongo kuibuka na Dangote?
Heiiiiiiiiii Chineeeeekeeeeee! 🤔
alaf mtu kisa ni chawa anasema tanzania isingeneemeka na dangote project😂😂
View: https://www.instagram.com/p/DewPnv0j8lB/?img_index=5&srtk=MW0xZm5wYjF5ZzN6aQ==
Unakuanga Jamaa wa uongo Sana. The country that brought Vitol was Uganda and not Tanzania 😂😂🤣The project was on long before Dangote afikirie kuhusu refinery in East Africa. Through Tanzania, Vittol gained access to markets in the neighbouring countries and supplied cheap fuel. The plan was for Vittol to invest in Tanga as an energy hub to supply all these markets, and Ruto was aware of this; it was a threat to the Kenyan economy, so he tried to sabotage the deal by roping in Dangote for the Tanga refinery, hoping TZ would bite the hook and cancel the arrangement with Vittol, but that was not the case; sasa ikabidi wahamie kwenye PR za Lamu refinery to rival Vittol's deal in Tanga.
Kabisa bro,uzalendo kwanza hawa viongozi wanapita tu,hawa kunyan utakuta mtu ampendi rais aliepo na kuna magumu anayopitia dhidi ya huo utawala,ila kwenye uzalendo anaweka nchi kwanza,kenya kuna magumu mengi wanapitia na wanajua wizi unaofanywa na wanasiasa wao ni mkubwa kuliko TZ,lakini utoona mkenya anaiponda nchi yakeAcheni mambo hayo.
Hakuna haja ya ku-go offensive dhidi ya watu walioa amua kuwa tofauti na kuungana na wakenya. Hao watapoa.
Mimi.pia simkubali Samia na unajua hili but siwezi take that offensive route dhidi ya nchi na watu.
Njia ya muongo huwa fupi 👇Dangote Refinery is an FDI. By the way talking of FDI, Kenyan FDI is 3* bigger than FDI ya Tanzania.
you can’t differentiate FDI from Equity?Dangote Refinery is an FDI. By the way talking of FDI, Kenyan FDI is 3* bigger than FDI ya Tanzania.
Three times you say, where is the evidence?Dangote Refinery is an FDI. By the way talking of FDI, Kenyan FDI is 3* bigger than FDI ya Tanzania.