Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,175
- 107,752
Huwezi kujiona pitia posts zako halafu ujiulize kosa lake nn haswa believe me going through ur posts una ka-mfumo dume!Wap na lin nimeongelea kuhusu mama kuwa mwanamke ndo kuwa haiwez hii nchi?
Wanasema "I'm only responsible for what I say, and not how you understand it"
Ruhusa pitia then unitag. Maybe nikukumbushe.. ni ichoboy alisema kwa dini yake mwanamke hatakiwi kuwa kiongoziHuwezi kujiona pitia posts zako halafu ujiulize kosa lake nn haswa believe me going through ur posts una ka-mfumo dume!
Na si wewe tu, wengi wenu kanda ya Ziwa mpo hivyo! Ndo maana Mama yuko busy zaidi na wakina mama upande huo kashasoma uelekeo.
Hilo si tatizo liko-covered! Tatizo ni pale tunaenda London na Dallas na say Paris/Marseille! Hata ikiwa flights mbili weekly tayari shida!Yeah lets see but so far..the Max 9 zitasaidia kuzifanya 787 ziwe free kwenye route ya mumbai ..kwani they can easily cover that on daily basis..
I think Max 9s will cover Joburg, Mumbai, Dubai and west african cities as main targets ..and Harare /Lusaka on busy days
So 787 can be deployed to Guangzhou, London and maybe Paris and states kama tukiweza kufanya hvyo ..
Tena hawa mbwa huwa wanatumia Picha nyingi za Tz ikiwemo mastar wa Tz wakisema ni wa Kenya. Ila kinachoniudhi ni hz media zetu bongo kutumia picha za diesel SGR kuongelea electrifitried SGR wanaidhalilisha sn European standard SGR yetu.Mbona hata media za Kenya hutumia picha za BRT Tanzania!View attachment 2280901
View attachment 2280902
Wewe huwa unampinga mama. Ni vizuri kuona leo umekubali kazi aliyofanya. Hakuna kiongozi ambaye hana uzuri wake na mapungufu yake.But hongera kwa Rais SSH kwa kukamilisha kupata wakandaras wa vipande vyote vilibaki from Dar to Mwanza, thats what I really wanted her to accomplish. Sasa ni rasmi line yote ya SGR of over 1200km from Dar to Mwanza is underconstruction. 👏
Kenyatta Referral has a PET in their comprehensive cancer unit. - Inside KU hospital's new cancer imaging centreShow us any Kenyan government hospital which has PET scanner machine for cancer patients.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwani mfumo dume upo kwenye matamshi tu? Mimi nimekuangalia kwenye kiini cha nini haswa kinakufanya kumpinga na kwa kupitia spana zangu dhidi JPM nimegundua unajaribu kumpima kwa standards za JPM! Na hapo ndo mfumo dume unapoanza!Ruhusa pitia then unitag. Maybe nikukumbushe.. ni ichoboy alisema kwa dini yake mwanamke hatakiwi kuwa kiongozi
Magufuli alihitajika awepo ili uione Tz ya leo, kwa uwezo wa viongozi wa kitanzania including mama ukitoa Nyerere hakuna mwenye uthubutu wa JPM, so kama Magufuli asingepita trust me haya unayoyaona leo yangebaki kwenye ilani pekee, kwani wamepita viongozi wangapi waliahidi mambo yaliyokuwepo kwenye ilani na walishindwa kuyatekeleza japo kwa 1% ukiwa umeamua kuponda basi ponda kwa aibu na sivyo unavyofanya ww unaponda kitu unachojua ukweli wake sio sawa na usijifiche kwenye kichaka cha sukuma gang.Uondoe husda ya kimfumo dume juu yake basi! Kila serikali ina sera zake (kila kitabu na zama zake)!
Kama mama ameamua kufuata diplomasia ya kiuchumi kwa kufungua mipaka na kuhimiza biashara huwezi kutaka awe kama Mwendazake aliyejifungia akidhani biashara itamfuata!
Mwendazake alikuwa mjenzi ila biashara haikuwemo kichwani kwake na isingeweza kamwe kuwa sera yake! Hata angefanya Tanzania Dubai kimajengo na miundombinu; biashara yake hasingeiweza kwa sababu haikuwa his strength!
Na ndo maana hata jamii zina specialisation huwezi chukua Mchagga/Mkinga/Mhindi/Mmachinga aswage ng'ombe ila biashara ataweza likewise Msukuma umpe biashara! Kosa la Mwendazake hakujua hili.
Where is Kenya?, Must be among top 3 [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tony254 .. post ya 2 Dec 2021 hiiwadau tukubalieni, hii nchi saiz haina kiongozi...
tuombe tu ndan ya miaka hii mitano hadi 2025 miradi yote ya Magu iwe imeisha... iwe ndan ya mda au nje ya mda.. lkn mpka 2025 iwe imeisha yote.. alafu 2025 uchaguzi mkuu mama akae pemben, amwachie hata majaliwa at the wheel.
mpka 2025 mama ajitahidi bas kufanya yafuatayo
- amalizie sgr Dar-Makutupora, na Isaka-Mwanza
- atafute hela (ziwe approved) za Makutupora-Isaka na Isaka-Kigali SGR
- ahakikishe Msalato airport inaisha
- ahakikishe JNHHP inaisha
- ahakikishe bas anaweka hata jiwe la msingi Dodoma stadium
- ahakikishe ujenzi wa bomba la mafuta unaanza
- na mengine baadhi..
haya mengine sijui umeme au maji kukatika sijui vitu gan vingine tutamsaheme tu maana hakutarajia kuwa Rais.. lkn 2025 akae pemben, tuendelee na mtu mwingine
japo yapo mengi mazuri anayafanya kama hizi 1.3tr za IMF, biashara na kenya, lkn uongozi kiujumla hana, nchi imelala, viongozi chini yake nao wamelala lala
(wapo wengi wazuri wafuatiliaji, lkn wanaogopa kumuoutshine the master mkimya)
Hivi kwann hatupendi maendeleo ya wengine?izo simple building sizinasave the purpose?tuacheni mambo ya kiswahili..Health centres ya kuhudumia wateja 15k kwa mwaka tujenge maghorofa?lakini kama huduma ya mama na mtoto inapatikana kwenye simple buildings,huduma ya oxygen,Bemoc and Cemoc opd na nk basi tuache midomo...
Fyi izo health centres zinaajiri medical doctors,lab scientists, lab technicians, nurses,pharmaceutical assistants, pharmacist, clinical officers,nk...tena zinafungwa na imaging rooms kwa ajili ya x-rays and ultrasound so pia wanaajiri sonographers
Nilikuwa naitafuta! SGR Isaka-Kigali haitajengwa kwasababu si feasible!wadau tukubalieni, hii nchi saiz haina kiongozi...
tuombe tu ndan ya miaka hii mitano hadi 2025 miradi yote ya Magu iwe imeisha... iwe ndan ya mda au nje ya mda.. lkn mpka 2025 iwe imeisha yote.. alafu 2025 uchaguzi mkuu mama akae pemben, amwachie hata majaliwa at the wheel.
mpka 2025 mama ajitahidi bas kufanya yafuatayo
- amalizie sgr Dar-Makutupora, na Isaka-Mwanza
- atafute hela (ziwe approved) za Makutupora-Isaka na Isaka-Kigali SGR
- ahakikishe Msalato airport inaisha
- ahakikishe JNHHP inaisha
- ahakikishe bas anaweka hata jiwe la msingi Dodoma stadium
- ahakikishe ujenzi wa bomba la mafuta unaanza
- na mengine baadhi..
haya mengine sijui umeme au maji kukatika sijui vitu gan vingine tutamsaheme tu maana hakutarajia kuwa Rais[emoji23].. lkn 2025 akae pemben, tuendelee na mtu mwingine
japo yapo mengi mazuri anayafanya kama hizi 1.3tr za IMF, biashara na kenya, lkn uongozi kiujumla hana, nchi imelala, viongozi chini yake nao wamelala lala
(wapo wengi wazuri wafuatiliaji, lkn wanaogopa kumuoutshine the master mkimya)
Tulia mlipigwa, bullet train gani inakimbia 160km/hr [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena hawa mbwa huwa wanatumia Picha nyingi za Tz ikiwemo mastar wa Tz wakisema ni wa Kenya. Ila kinachoniudhi ni hz media zetu bongo kutumia picha za diesel SGR kuongelea electrifitried SGR wanaidhalilisha sn European standard SGR yetu.
Ulikuwa unaitafuta..au umeiona baada ya mim kuileta kumjibu Tony kuhusu SGR?😂.. anyway kuhusu mama kuwa mwanamke iko wap hapo kweny commentNilikuwa naitafuta! SGR Isaka-Kigali kwasababu si feasible!
nimeona na zwazwa ame like hebu tuoneshe posta iko wapi hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2280549
Na Chato haitakuwa mkoa!Ulikuwa unaitafuta..au umeiona baada ya mim kuileta kumjibu Tony kuhusu SGR?😂.. anyway kuhusu mama kuwa mwanamke iko wap hapo kweny comment
Thats the description of a white elephant.Nyie kanunueni Ethiopia sisi tunajenga demand kwa kuwekeza kwenye viwanda vingi na isitoshe majirani wetu wa Kusini (southern african power pool) wana demand kubwa ya umeme.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na Chato haitakuwa mkoa!