It’s December and treni za umeme bado hazijaja?
View attachment 2029920
Serikali imesema uongo kuhusu ujio wa hizi treni kama Mara nne. What’s happening? What’s the actual ETA?
wadau tukubalieni, hii nchi saiz haina kiongozi...
tuombe tu ndan ya miaka hii mitano hadi 2025 miradi yote ya Magu iwe imeisha... iwe ndan ya mda au nje ya mda.. lkn mpka 2025 iwe imeisha yote.. alafu 2025 uchaguzi mkuu mama akae pemben, amwachie hata majaliwa at the wheel.
mpka 2025 mama ajitahidi bas kufanya yafuatayo
- amalizie sgr Dar-Makutupora, na Isaka-Mwanza
- atafute hela (ziwe approved) za Makutupora-Isaka na Isaka-Kigali SGR
- ahakikishe Msalato airport inaisha
- ahakikishe JNHHP inaisha
- ahakikishe bas anaweka hata jiwe la msingi Dodoma stadium
- ahakikishe ujenzi wa bomba la mafuta unaanza
- na mengine baadhi..
haya mengine sijui umeme au maji kukatika sijui vitu gan vingine tutamsaheme tu maana hakutarajia kuwa Rais
.. lkn 2025 akae pemben, tuendelee na mtu mwinginejapo yapo mengi mazuri anayafanya kama hizi 1.3tr za IMF, biashara na kenya, lkn uongozi kiujumla hana, nchi imelala, viongozi chini yake nao wamelala lala
(wapo wengi wazuri wafuatiliaji, lkn wanaogopa kumuoutshine the master mkimya)



