Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nicxie the reason why mimi huwa nasema Kenya ina CBD tatu ni picha kama hizi sasa. Hii ni picha ya Westlands pekee na tayari ina skyscrapers ndefu kushinda capital city ya Uganda. Hebu compare hii picha ya Wesstlands na ya CBD ya Kampala uone the difference

Kampala

View attachment 2279825

Westlands

View attachment 2279827

Hakuna mtu anaweza kulinganisha Kampala na Westlands. Westlands imeipiga.

Twende kwa CBD yetu ya pili yaani upperhill. Now compare Kampala with Upperhill

Kampala
View attachment 2279831

Upperhill

View attachment 2279833

Finally, twende kwa CBD ya Kenya ya tatu, hii ndio ile CBD ya zamani na ndio official Nairobi CBD ambapo ofisi za serikali zipo, bunge na supreme court. Lakini tuanze na picha ya Kampala kwanza

Kampala
View attachment 2279834

(Old) Nairobi CBD
View attachment 2279836

Sasa nikisema kwamba Nairobi ina CBD tatu nimekosea wapi manaake Upperhill, Westlands na Old CBD zote zimaipiga Kampala hands down?

Cc joto la jiwe The best 007 Geza Ulole chongchung coodip1 7seven tuusan
Hujaitendea hahi Kampala wala sisi wapokeaji kwa kutumia picha 1 ya Kampala
 
Kenyan SGR pia inatumia automatic signalling systems. Punguza ushamba wewe jamaa. In fact, sidhani kama kuna SGR yoyote iliyojengwa duniani in the last 10 years ambayo inatumia manual signalling systems. Hata SGR ya Ethiopia lazima ni automatic. Sio jambo kubwa, hili ni jambo la kawaida kuwa na automatic signalling systems japo wewe unafikiri kimakosa kwamba Tanzania ndio nchi ya kwanza kupata automatic signalling systems ukanda huu.
Yes ndio nchi ya kwanza kupata automatic signalling on Tazara railway in the 70s.
 
Nicxie the reason why mimi huwa nasema Kenya ina CBD tatu ni picha kama hizi sasa. Hii ni picha ya Westlands pekee na tayari ina skyscrapers ndefu kushinda capital city ya Uganda. Hebu compare hii picha ya Wesstlands na ya CBD ya Kampala uone the difference

Kampala

View attachment 2279825

Westlands (Kabla ya expressway kujengwa)

View attachment 2279827

Hakuna mtu anaweza kulinganisha Kampala na Westlands. Westlands imeipiga.

Twende kwa CBD yetu ya pili yaani upperhill. Now compare Kampala with Upperhill

Kampala
View attachment 2279831

Upperhill

View attachment 2279833

Finally, twende kwa CBD ya Kenya ya tatu, hii ndio ile CBD ya zamani na ndio official Nairobi CBD ambapo ofisi za serikali zipo, bunge na supreme court. Lakini tuanze na picha ya Kampala kwanza

Kampala
View attachment 2279834

(Old) Nairobi CBD
View attachment 2279836

Sasa nikisema kwamba Nairobi ina CBD tatu nimekosea wapi manaake Upperhill, Westlands na Old CBD zote zinaipiga Kampala hands down?

Cc joto la jiwe The best 007 Geza Ulole chongchung coodip1 7seven tuusan
Kwahyo Kampala picha ni hiyo tu hakuna ingine
 
Hii pwani region ina miji gani famous inayojulikana? Watanzania wagani maarufu wanatokea region hio? Economic activities zinazofanyika katika mkoa huo ni gani?
Ndio region yenye viwanda vingi sana Tanzania. Kuna kibaha town na industrial town inajengwa Ruvu.
 
inspection of the much awaited CyberKnife - an advanced cancer treatment machine which will be the 2nd in Africa after Egypt.
20220703_131817.jpg
20220703_131815.jpg
20220703_131812.jpg
 
Attachments

  • 20220703_131814.jpg
    20220703_131814.jpg
    93.6 KB · Views: 6
Nicxie the reason why mimi huwa nasema Kenya ina CBD tatu ni picha kama hizi sasa. Hii ni picha ya Westlands pekee na tayari ina skyscrapers ndefu kushinda capital city ya Uganda. Hebu compare hii picha ya Wesstlands na ya CBD ya Kampala uone the difference

Kampala

View attachment 2279825

Westlands (Kabla ya expressway kujengwa)

View attachment 2279827

Hakuna mtu anaweza kulinganisha Kampala na Westlands. Westlands imeipiga.

Twende kwa CBD yetu ya pili yaani upperhill. Now compare Kampala with Upperhill

Kampala
View attachment 2279831

Upperhill

View attachment 2279833

Finally, twende kwa CBD ya Kenya ya tatu, hii ndio ile CBD ya zamani na ndio official Nairobi CBD ambapo ofisi za serikali zipo, bunge na supreme court. Lakini tuanze na picha ya Kampala kwanza

Kampala
View attachment 2279834

(Old) Nairobi CBD
View attachment 2279836

Sasa nikisema kwamba Nairobi ina CBD tatu nimekosea wapi manaake Upperhill, Westlands na Old CBD zote zinaipiga Kampala hands down?

Cc joto la jiwe The best 007 Geza Ulole chongchung coodip1 7seven tuusan
unaakili ndogo sana
yaani unacgukua picha mbaya ya uganda unalinganusha na picha nzuri iliyopigwa kwenye angle nzuri kutoka kenya

eti mna CBD 3
 
Hii pwani region ina miji gani famous inayojulikana? Watanzania wagani maarufu wanatokea region hio? Economic activities zinazofanyika katika mkoa huo ni gani?
Ni Wazaramo, Wandengereko, Wazigua wanaopakana na Wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga, Warufiji, Wakwere (kabila la Kikwete).

Miji yake ni kama Bagamoyo, Kibaha, Chalinze n.k.

Shughuli zao ni kama Uvuvi, Kilimo kama vile mananasi ukanda wa Bagamoyo eneo la Kiwangwa hapa ndio mahali pake, mpunga bonde la mto Ruvu kilimo cha mihogo na matikiti maji.

Huu ukanda ndio wenye viwanda vingi kuliko sehemu yoyote ile Tanzania. Kuna baadhi bado vinajengwa ambavyo havijaanza kufanya kazi.

Watu wake ni wakarimu sana kwa wageni hawana ubaguzi wowote ule. Wanapenda burudani ya ngoma za asili na taarabu, vijana Singeli na Bongo flavour.
 
Nicxie the reason why mimi huwa nasema Kenya ina CBD tatu ni picha kama hizi sasa. Hii ni picha ya Westlands pekee na tayari ina skyscrapers ndefu kushinda capital city ya Uganda. Hebu compare hii picha ya Wesstlands na ya CBD ya Kampala uone the difference

Kampala

View attachment 2279825

Westlands (Kabla ya expressway kujengwa)

View attachment 2279827

Hakuna mtu anaweza kulinganisha Kampala na Westlands. Westlands imeipiga.

Twende kwa CBD yetu ya pili yaani upperhill. Now compare Kampala with Upperhill

Kampala
View attachment 2279831

Upperhill

View attachment 2279833

Finally, twende kwa CBD ya Kenya ya tatu, hii ndio ile CBD ya zamani na ndio official Nairobi CBD ambapo ofisi za serikali zipo, bunge na supreme court. Lakini tuanze na picha ya Kampala kwanza

Kampala
View attachment 2279834

(Old) Nairobi CBD
View attachment 2279836

Sasa nikisema kwamba Nairobi ina CBD tatu nimekosea wapi manaake Upperhill, Westlands na Old CBD zote zinaipiga Kampala hands down?

Cc joto la jiwe The best 007 Geza Ulole chongchung coodip1 7seven tuusan
Kama hakuna picha nyingine ya Kampala basi uko sahihi.
 
Back
Top Bottom