Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe jamaa tushakufahamu hakuna siku umewahi kuongea jambo positive kuhusu bongo kwaiyo tunakuelewa baki na mawazo yako mgando
Bongo ni perfect? Nadhani idea ya kukosoa inaleta maendeleo mahali popote, especially kwenye maeneo yaliyokaliwa na viongozi corrupt na wasiojua kitu wanachofanya. Hata Yesu alikuwa mkosoaji mzuri sana wa authority na Ndio Maana walimuua. He upset the people in power. Kama umeridhika na hali ya Tanzania ya kimaisha, kiuchumi, kielimu nk, basi Una matatizo ya kiakili. Nchi yenye GDP per capita chini ya $2000 na Low HDI unakosa cha kukosoa? There’s so much that needs to be done. Na Ndio Maana niko hapa kukosoa ili watu waone kuwa kuna mambo yanahitaji mabadiliko au maendeleo. Vitu pekee vya Tanzania nitakavyosifia ni natural resources. Au pale maendeleo ya msingi yakifanyika. Vingine nitakosoa accordingly.
 
Nioneshe kijitonyama nitoke JF sasa hivi. Hayo magorofa hapo kushoto sio kijitonyama.
Kwani Kijitonyama siku hizi ziko mbili Dar kando na hii along Bagamoyo road ambayo kila mtu anajua hapa?
Screenshot_20220704-070811~2.png
Screenshot_20220704-070636~2.png

Kama kuna nyingine ebu tuonyeshe picha zake
 
One of the best things about home building is when it’s done through massive real estate developments. Tanzania kila mtu ana idea yake ya kujenga na wakati wake wa kujenga atakapopata pesa. Result ya hii ni spaces zinazoonekana kuwa disorganized, empty, zisizo na huduma muhimu nk.

Lakini nchi za wenzetu Mara nyingi nyumba huwa zinajegwa na makampuni halafu watu wanatafuta nyumba kununua na wanalipa Kwa mortgage. Kwa hiyo Wewe kama mteja unatembelea nyumba zilizopo vacant kwa msaada wa real estate agents na unaangalia nyumba zinazofaa mahitaji yako na income bracket yako. Ukitaka kufanya mabadiliko kama kuongeza rooms baada ya ku-acquire nyumba ni lazima upate ruhusa Kwa local authorities. Na pia ukitaka kuhama una-renovate nyumba iongezeke thamani then unaiweka kwenye market.

Kwa hiyo hizi real estate development companies wanajenga nyumba nyingi, na kutokana na plans zao wanaweza kutengeneza entire communities. Wanaweza kujenga nyumba, wakajenga commercial buildings kama restaurants, super markets, grocery stores, salons, spa, pharmacies etc. Pia wanaweza kujenga playgrounds za watoto, parks and gardens, markets…essentially, huduma za muhimu watu wanazohitaji zinakuwa karibu yao. Pia ujenzi wa vitu kama sewerage systems, street lights, pavements, traffic lights unafanyika. Kwa hiyo kiufupi, suburbs zinakuwa za kuvutia na zinafuata urban planning design. Kawaida urban plans pia zina sehemu zinazoachwa nafasi kama shule na administrative services. Projects kubwa zinaweza kushawishi serikali Au private parties kuongeza maendeleo Kwa kujenga vitu kama shule karibu na hizi jamii ili watoto wapate elimu karibu na nyumbani. Kama kuna mtu anataka kujenga nyumba yake mwenyewe, of course kuna process za kufuata.

Ningependa ujenzi wa aina hii ufanyike Tanzania. Watu wanadhani urban planning ni sprawling suburbs zenye mabati ya kufanana rangi. However, ni kitu tofauti kabisa. I prefer walkable neighborhoods that are community oriented. Neighborhoods filled with all the basic services close to every citizen.

Mfano ninaoupenda ni hii real estate development somewhere in Atlanta, Georgia.

Kuna residential buildings of many varieties, commercial spaces, parks and playgrounds. Kenyans are already doing this by the way.

View attachment 2280422View attachment 2280423View attachment 2280425View attachment 2280426View attachment 2280427View attachment 2280428View attachment 2280429View attachment 2280430View attachment 2280431View attachment 2280432View attachment 2280433View attachment 2280434View attachment 2280435View attachment 2280436View attachment 2280442View attachment 2280443
Yes but most Kenyans cannot afford these houses they are only occupied by foreigners, few oligarchs and politicians. Majority live in slums.
 
Museveni ni mjinga sana wacha nikuambie.
Kweli nchi ya UG inaingia middle income this year going by economic projections but it needs at least three years of consistent economic performance at that level to be officially admitted to the club.
 
Mimi ninaongea kuhusu kuconsume sio kuproduce. Tanzania inaconsume 1,400 MW. Au kiingereza ndio tatizo kwenu Wabongo?
Cc coodip1
Post yako hukuiweka clear it was vague there was no delineation between consumption na production in your post.
 
Nikianza kuongea mambo ya Kenya kuproduce 3,000 MW ya umeme si watatoroka?
Cc coodip1 Sama boy 255
Nilikwambia na nikakupa evidence Tony kuwa Dangote and Twiga cement alone consume about 100MW..na hizo hazihesabiwi kama zimetoka Tanesco..

we need to know all TPDC customers so as to come with a correct number ya MW ambazo hizo imdustries zimetumia...kumbuka alot of industries za Dar, Pwani Lindi na mtwara ziko connected to Gas

Anyways Fund have already been alocated for
1.Malaragarsi Hydro 50MW
2.Mtwara Gas plant 300MW

Apart from that Underconstruction projects are
1.JNHPP 2145MW

2.Kinyerezi 1 ext amabyo 70MW out of 185 MW..have already been injected to the grid..

3.Rusumo Hydro 80MW..ambayo 27MW are to be added kwa Grid Ya Taifa

@cooldip1
Screenshot_20220704-082653_ReadEra.jpg
Screenshot_20220704-082643_ReadEra.jpg
 
Kweli nchi ya UG inaingia middle income this year going by economic projections but it needs at least three years of consistent economic performance at that level to be officially admitted to the club.
Umesoma kile ambacho World Bank wamesema ama unaropokwa tu? Unadhani UG inaweza kujideclare middle income ikiwa World Bank imekataa? Chukua muda usome article niliyopost, usiwe unapinga kila kitu. World Bank wanasema Gni per capita ya Uganda ni $850 sio hio $1,045 ambayo Museveni alikuwa anadanganya watu nayo.
 
Hako KaNairobi unaokadharau ndio mji wa kipekee southern hemishere ambayo ina UN Headquarters. Kuna nchi nyingi sana south of the equator lakini Kenya ndio nchi pekee chini ya Equator yenye UN Headquarters. Kenya ndio nchi ya Pekee Africa, Asia, Carribean na South America yenye UN headquarters. Miji mingine yenye UN headquarters yapo US na Europe pekee. Asia haina UN Headquarters, vile vile South America haina UN headquarters. Carribean pia haina UN headquarters. Heshimu haka Kanairobi unaokadharau. Last week kalihost delegates kutoka nchi zote duniani kwenye UN Biodiversity conference.
View attachment 2272867
Si ndio maana somalia wanawadinya kila siku wanafata iyo head office ya UN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania in 2024 itakuwa 6000MW wewe subiria muda sio mrefu huu mchezo hautaki hasira.
Hahaha. Wewe endelea kuota. By the way hamproduce 2,024 MW. Tafuta mtu mwingine wa kudanganya au ulete evidence.
 
Bongo ni perfect? Nadhani idea ya kukosoa inaleta maendeleo mahali popote, especially kwenye maeneo yaliyokaliwa na viongozi corrupt na wasiojua kitu wanachofanya. Hata Yesu alikuwa mkosoaji mzuri sana wa authority na Ndio Maana walimuua. He upset the people in power. Kama umeridhika na hali ya Tanzania ya kimaisha, kiuchumi, kielimu nk, basi Una matatizo ya kiakili. Nchi yenye GDP per capita chini ya $2000 na Low HDI unakosa cha kukosoa? There’s so much that needs to be done. Na Ndio Maana niko hapa kukosoa ili watu waone kuwa kuna mambo yanahitaji mabadiliko au maendeleo. Vitu pekee vya Tanzania nitakavyosifia ni natural resources. Au pale maendeleo ya msingi yakifanyika. Vingine nitakosoa accordingly.
Mzee you don't have to be negative in everything ili uonekane ur right izi nchi unazozisifia they had an headstat of more than 400 years so chil broo things can't happen overnight
 
Back
Top Bottom