Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Stop being a nuisance here we honor visiting leaders with road names here in Tz. We also have Kenyatta and Kibaki roads sembuse Obama? When he visited alizindua hiyo barabara mwenyewe.
So every leader who has visited Tanzania has a road named after him?
 
Tony nilishakwambia mara nying..ukiangalia consumption ya umeme Tz ukumbuke kuna suppliers wawili
1.Tanesco
2.TPDC ..most of major industries in Pwani, Dar, Lindi and Mtwara wanapata gas kutoka TPDC ..
mfano ..Twiga cement 40MW from Songas and Dangote uses 50MW..

Dangote na Twiga Cement combined wanatumia 90 MW labda sasa hivi wanaweza kuwa wanatumia 100MW hizo ananunua from TPDC sio Tanesco...

Sijahesabia viwanda vingine vyenye gas to power vinavyonunua Gas kutoka Songas na TPDC ..

so we might be clocking 300MW alone za industries ambazo ni Gas to Electricity za viwanda zisizo pitia tanesco

Hapo nimeacha TBL na Serengeti Brewiries

Jionee hapo reference au you can search yourselfView attachment 2279931View attachment 2279932
Hata kioo limited uses gas to generate electricity. Many more industries are using gas to power their activities in Tz this aside electricity generated by Tanesco.
 
Unajisumbua tu mkuu, yote hayo tulieleza humu ndan.. hapo wanatafuta relief tu baada ya kuumia.. walianza na kuuliza tuwaonyeshe 1km ya reli, wakaja 100km, wakaja sijui kwa umeme gani.. maswali hayatawaisha..
Hii ndo hali yao saiz..wanatafuta kuliwazwa tu kwa jinsi walivyochezwa na Uhunye
View attachment 2279948
 
Nicxie the reason why mimi huwa nasema Kenya ina CBD tatu ni picha kama hizi sasa. Hii ni picha ya Westlands pekee na tayari ina skyscrapers ndefu kushinda capital city ya Uganda. Hebu compare hii picha ya Wesstlands na ya CBD ya Kampala uone the difference

Kampala

View attachment 2279825

Westlands (Kabla ya expressway kujengwa)

View attachment 2279827

Hakuna mtu anaweza kulinganisha Kampala na Westlands. Westlands imeipiga.

Twende kwa CBD yetu ya pili yaani upperhill. Now compare Kampala with Upperhill

Kampala
View attachment 2279831

Upperhill

View attachment 2279833

Finally, twende kwa CBD ya Kenya ya tatu, hii ndio ile CBD ya zamani na ndio official Nairobi CBD ambapo ofisi za serikali zipo, bunge na supreme court. Lakini tuanze na picha ya Kampala kwanza

Kampala
View attachment 2279834

(Old) Nairobi CBD
View attachment 2279836

Sasa nikisema kwamba Nairobi ina CBD tatu nimekosea wapi manaake Upperhill, Westlands na Old CBD zote zinaipiga Kampala hands down?

Cc joto la jiwe The best 007 Geza Ulole chongchung coodip1 7seven tuusan
20220630_095753.jpg
 
Mlianza doubt hii project kabla mkandarasi afike site na kusema hatuwezi Jenga SGR,hatuwezi tumia nishati ya umeme,sasa naona mmehamisha maswali why now you care about the speed?capacity and other technical issues?since when your concerned about this project...wacheni kutuchosha na maswali yakijinga
Ukiona wameanza kuingia kwenye vitu vya ndani kama technical specifications ujue tayari hapo wameshakubali indirectly kuhusu uwepo wa electric sgr in Tanzania ambapo hapo awali walikuwa wakijiliwaza kuwa haitakaa ijengwe kwa vibweka vyao vya tuoneshe 1cm ya sgr etc.
 
So every leader who has visited Tanzania has a road named after him?
Not all leaders but selected leaders mostly African ones such as Patrice Lumumba, Samora Machel, Nelson Mandela etc and some few from outside Africa like Obama and Indira Ghandi.
 
Ni Wazaramo, Wandengereko, Wazigua wanaopakana na Wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga, Warufiji, Wakwere (kabila la Kikwete).

Miji yake ni kama Bagamoyo, Kibaha, Chalinze n.k.

Shughuli zao ni kama Uvuvi, Kilimo kama vile mananasi ukanda wa Bagamoyo eneo la Kiwangwa hapa ndio mahali pake, mpunga bonde la mto Ruvu kilimo cha mihogo na matikiti maji.

Huu ukanda ndio wenye viwanda vingi kuliko sehemu yoyote ile Tanzania. Kuna baadhi bado vinajengwa ambavyo havijaanza kufanya kazi.

Watu wake ni wakarimu sana kwa wageni hawana ubaguzi wowote ule. Wanapenda burudani ya ngoma za asili na taarabu, vijana Singeli na Bongo flavour.
Ongezea na miji ya Mkuranga, Kisarawe, Kibiti, Ikwiriri pamoja na kisiwa Cha Mafia, Jaja, kwale na koma.

Makabila yake mengine ni Wanyagatwa, Wakojani, Wajaja na Wanyangalio.

Bandari zao muhimu ni Bagamoyo, Kisiju pwani na Boza.

Watu maarufu ni Jakaya Mrisho Kikwete, Ally Hassan Mwinyi, Dr Hussein Mwinyi, Mbwana Samata, Shaban Robert, Adam Malima , 20%, Kingwendu.

Shughuli kubwa ni uvuvi kutokana na eneo kubwa bahari.
Kilimo hasa Cha mihogo, matunda ya aina zote ikiwemo mananasi , mafenesi, embe za kila namna.

Shughuli za viwanda hasa wilaya ya kibaha na Mkuranga.

Kilimo Cha mpunga kule mhoro na wilaya ya Rufiji

Shughuli ya utalii katika Mali kale za Bagamoyo,
Utalii wa fukwe katika kisiwa Cha Mafia, Mkuranga, Bagamoyo
Ni hayo tu.
 
Hivi ndivyo Rais Samia amekata vidoko Domo vya Sukuma gang..

Makusanyo ya TRA yavunja rekodi kwa 99% na Utekelezaji wa Bajeti kwa 95% waweka historia ..

Hii haijawahi fikiwa na mtunyeyote kabla na hii ndio maana ya Uongozi sasa 👇
 
Attachments

  • 20220702_104205.jpg
    20220702_104205.jpg
    309.4 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220628-115959.png
    Screenshot_20220628-115959.png
    60.4 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220628-120243.png
    Screenshot_20220628-120243.png
    130.8 KB · Views: 10
Tony nilishakwambia mara nying..ukiangalia consumption ya umeme Tz ukumbuke kuna suppliers wawili
1.Tanesco
2.TPDC ..most of major industries in Pwani, Dar, Lindi and Mtwara wanapata gas kutoka TPDC ..
mfano ..Twiga cement 40MW from Songas and Dangote uses 50MW..

Dangote na Twiga Cement combined wanatumia 90 MW labda sasa hivi wanaweza kuwa wanatumia 100MW hizo ananunua from TPDC sio Tanesco...

Sijahesabia viwanda vingine vyenye gas to power vinavyonunua Gas kutoka Songas na TPDC ..

so we might be clocking 300MW alone za industries ambazo ni Gas to Electricity za viwanda zisizo pitia tanesco

Hapo nimeacha TBL na Serengeti Brewiries

Jionee hapo reference au you can search yourselfView attachment 2279931View attachment 2279932
Unajua maana ya National grid? Wewe wacha kujiaibisha bana. Unataka kutudanganya eti consumption in MW yenu imezidi the total MW installed on the National Grid.
 
Mlianza doubt hii project kabla mkandarasi afike site na kusema hatuwezi Jenga SGR,hatuwezi tumia nishati ya umeme,sasa naona mmehamisha maswali why now you care about the speed?capacity and other technical issues?since when your concerned about this project...wacheni kutuchosha na maswali yakijinga
Hizo technicalities ndio kila kitu, sijui nani kawadangaya train ikiwa electric basi kila kitu sawa. From technical analysis, sgr yenu ni ya passengers wakati yetu ni beast of burden. So aesthetically haziwezi fanana.
 
Kati ya 35 tons per axle na 25 tons per axle ipi ni ya passengers ukijibu vizuri naondoka JF sasa hivi.
 
Back
Top Bottom