joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Wewe akili yako ni finyu Sana, Nina wasiwasi na Elimu yako. Hivi unajua hao wakija Tanzania wanatibiwa katika Hospitali za serikali, unajua kwamba hizo Hospitali za serikali zinapewa pesa na madawa kulingana na idadi ya watu katika maeneo Yao?,Kwani wanakuja Tanzania kutibiwa bure au wanatibiwa kwa pesa zao? Wachanga ujinga wakati mwingine. Hata mkiwafukuza, watatumia pesa zao kutibiwa kwingine. Hawatibiwi bure.
Hao watu wenu hawapo katika bajeti ya serikali yetu, matokeo yake watanzania wanakosa dawa na huduma zengine kutokana na kuongezeka kwa watumiaji huduma toka Kenya
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app