Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni testing tu lakini ona vilio vya wakunya.
Can you imagine zenyewe zikija vilio vyake vitakuwaje! [emoji23][emoji23][emoji23]

Pitia comments utajua wakenya sio watu wajinga, kuna serious questions wameuliza naomba utusaide kujibu.

1. Can it double stack
2. Average speed
3. Maximum carrying capacity
4. Electrification is just but another mode of propulsion

Uwanja ni wako.
 
Mwambie wenyeji wa mkoa wa Pwani ni wavivu wa kupindukia,hawataki maendeleo na hawapendi kusoma, kama unamueleza mueleze mambo yote ajue
[emoji41][emoji41][emoji41] hapa inabidi nivae miwani tu.
 
Hii pwani region ina miji gani famous inayojulikana? Watanzania wagani maarufu wanatokea region hio? Economic activities zinazofanyika katika mkoa huo ni gani?
Ile barabara ya kimara-kibaha ndio inaishia Pwani region (Kibaha is in Pwani region), Pwani ni mkoa uliopakana na Dar es Salaam, huwezi fika Dar kwa bus kama hutapita Pwani region
coastal zone(0).jpg
yani Pwani region imeizunguka DAR ..

Pwani ndio mkoa wenye viwanda vingi kuliko mikoa yote Tanzania shughuli zake za uchumi kubwa ni viwanda, uvuvi na kilimo

Pwani ndio mkoa inapopatikana Bagamoyo district where we expecting to build the largest port in EA na huo mji ambapo soon mchongo utaanza

Hata zile marshalling Yards za SGR na MGR kubwa bongo ndio zipo huko

Pwani ni mji muhimu zaidi Tanzania, Pwani is our future,

Miradi yote ya kimkakati inayotarajiwa kufanyika Pwani ikikamilika, Tegemea Tz kuwa na miji mitatu yenye hadhi sawa na Dar es Salaam

1. Dar
2. Dom
3. Pwani
 
Ni testing tu lakini ona vilio vya wakunya.
Can you imagine zenyewe zikija vilio vyake vitakuwaje! [emoji23][emoji23][emoji23]

Ndio watajua hawajui sasa nani ana data za kiuchumi za kweli kati yetu na wao [emoji28]
 
Hivi mnategemea tusiweze ku double stack, na SGR yenu iwe na speed kuliko yetu...subiri muone..tutaoneshana makali tu taratibu
 
Wewe hujui kwamba Kenya inaconsume 2,000 MW ya umeme wakati Tanzania inaconsume 1,400 MW ya umeme? Unapata wapi nguvu ya kulinganisha Kenya na Tanzania likija kwenye swala la matumizi ya umeme? Wengine wenu yaani hamna aibu hata kidogo.
2000MW on paper wakati hamwezi kuendesha treni ya umeme. Waziri wenu mwenyewe alikiri uwezo wenu mdogo kwa umeme kuweza kuendesha electric train.
 
True. They still have a long way to go.
Watu hawaangalii majengo marefu ya mjini katika ku justify maendeleo bali maendeleo ya watu kwanza kama kumaliza njaa, afya bora na malazi ambayo Uganda wako way ahead of Kenya katika hayo anayebisha aje hapa.

Pili ukija kwenye macroeconomics Uganda wako vizuri kuliko Kenya.
 
Wewe hujui kwamba Kenya inaconsume 2,000 MW ya umeme wakati Tanzania inaconsume 1,400 MW ya umeme? Unapata wapi nguvu ya kulinganisha Kenya na Tanzania likija kwenye swala la matumizi ya umeme? Wengine wenu yaani hamna aibu hata kidogo.
Tony nilishakwambia mara nying..ukiangalia consumption ya umeme Tz ukumbuke kuna suppliers wawili
1.Tanesco
2.TPDC ..most of major industries in Pwani, Dar, Lindi and Mtwara wanapata gas kutoka TPDC ..
mfano ..Twiga cement 40MW from Songas and Dangote uses 50MW..

Dangote na Twiga Cement combined wanatumia 90 MW labda sasa hivi wanaweza kuwa wanatumia 100MW hizo ananunua from TPDC sio Tanesco...

Sijahesabia viwanda vingine vyenye gas to power vinavyonunua Gas kutoka Songas na TPDC ..

so we might be clocking 300MW alone za industries ambazo ni Gas to Electricity za viwanda zisizo pitia tanesco

Hapo nimeacha TBL na Serengeti Brewiries

Jionee hapo reference au you can search yourself
Screenshot_20220703-154054_Chrome.jpg
Screenshot_20220703-154546_Chrome.jpg
 
Pitia comments utajua wakenya sio watu wajinga, kuna serious questions wameuliza naomba utusaide kujibu.

1. Can it double stack
2. Average speed
3. Maximum carrying capacity
4. Electrification is just but another mode of propulsion

Uwanja ni wako.
Yes inabeba double stack mizigo na mabehewa yake yameshaagizwa.

Pia mabehewa ya abiria mengine ni double decker yameshaagizwa pia.

Train length ni 2km capacity 2k containers per trip.

Average speed apart from initial inertia hakuna maana electricity iko constant unlike gari moshi engine efficiency inapungua due to wear and tear.
 
Nikajua wameuliza au wamejibu kwa facts kumbe ni upumbav!
 
Yes inabeba double stack mizigo na mabehewa yake yameshaagizwa.

Pia mabehewa ya abiria mengine ni double decker yameshaagizwa pia.

Train length ni 2km capacity 2k containers per trip.

Average speed apart from initial inertia hakuna maana electricity iko constant unlike gari moshi engine efficiency inapungua due to wear and tear.
Unajisumbua tu mkuu, yote hayo tulieleza humu ndan.. hapo wanatafuta relief tu baada ya kuumia.. walianza na kuuliza tuwaonyeshe 1km ya reli, wakaja 100km, wakaja sijui kwa umeme gani.. maswali hayatawaisha..
Hii ndo hali yao saiz..wanatafuta kuliwazwa tu kwa jinsi walivyochezwa na Uhunye😂
20220703_160102.jpg
 
Pitia comments utajua wakenya sio watu wajinga, kuna serious questions wameuliza naomba utusaide kujibu.

1. Can it double stack
2. Average speed
3. Maximum carrying capacity
4. Electrification is just but another mode of propulsion

Uwanja ni wako.
Mlianza doubt hii project kabla mkandarasi afike site na kusema hatuwezi Jenga SGR,hatuwezi tumia nishati ya umeme,sasa naona mmehamisha maswali why now you care about the speed?capacity and other technical issues?since when your concerned about this project...wacheni kutuchosha na maswali yakijinga
 
Back
Top Bottom