Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So unataka kusema kwamba dar port inayotumika na shitholes kama tanzania, burundi, congo, malawi, zambia ,zimbabwe, DRC zote zina positive balance of trade.? Unaleta majibu ya mzaha kwa mambo serious.
Ninaweza kukuhakikishia kwamba, ukichukua pesa inayotumiwa na Kenya kuagiza bidhaa toka nje ya nchi, inazidi pesa inayotumiwa na nchi zote zinazotumia bandari ya Dar ukiacha DRC pekee.

Ninyi wakenya hamjui ni kwa kiasi gani uchumi wa Kenya unavyotegemea imports, Kama hata raw materials from agriculture sector pia Kenya inaagiza toka nchi za nje by 80% ya mahitaji yake wakati Kenya "is an Agricultural based Economy, hiyo ni dalili kwamba mpo katika hali mbaya Sana.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Do you think you can list anything from your head even if you can't support by evidences?, you must be mad.
Any sane person can't mention Ethiopia, Tanzania, Burundi, Zambia and other countries among the customers of Mombasa ports despite the fact that there are few customers from those countries who use Mombasa port, the same situation that, there are few Kenyans who use Tanzanian ports too

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
You said 98% of Ethiopia's cargo pass through the port of Djibouti. Assuming that the remaining 2% passes through Mombasa port, is it wrong for someone to say that Ethiopia uses Mombasa port? Or should a country use a certain port for all her imports 100% in order to be listed among the users of that specific port? Unareason aje bongolala?
 
Just show that fool this image na atanyamaza.

tapatalk_1656411524772.png
 
Twende pole pole, tuchukue mfano wa airports, kati ya JNIA na JKIA gani kubwa in terms of capacity.?
Hapa kwenye Airport ndio ukachanganya na vya bandarini? 😀 😀 😀 😀. Tunarudi kule kule volume matter unapotafuta capacity, JNIA Terminal 3 ni 6M per year na JKIA 18.5M per year.
 
Ninaweza kukuhakikishia kwamba, ukichukia pesa inayotumia na Kenya kuagiza bidhaa toka nje ya nchi, inazidi pesa inayotumia na nchi zote zinazotumia bandari ya Dar ukiacha DRC pekee.

Ninyi wakenya hamjui ni kwa kiasi gani uchumi wa Kenya unavyotegemea imports, Kama hata raw materials from agriculture sector pia Kenya inaagiza toka nchi za nje by 80% ya mahitaji yake wakati Kenya "is an Agricultural based Economy, hiyo ni dalili kwamba mpo katika hali mbaya Sana.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

By now inafaa ujue kwamba kwa hii thread ukiongea maneno kama hayo unafaa kua na back up ya data kutoka credible sources. So in other words unasema kwamba kenya tuna import more goods than 10 countries combined. Are you normal kweli??
 
Alikuwa analalamika kadogosa mwizi, mimi nikawa nashangaa kuna raisi, kuna waziri wa ujenzi, kuna bodi ya TRC wote hawa wanamwangalia tu anaiba?
Waziri alivyojibu kajifanya hata hiyo clip hajaiona wakati yeye ndio mtuma clip humu.
Hii ni sawa na kumkosoa Makonda umwache Magufuli.
😂Kwa maneno mengine inamaanishwa hiv.. "Kadogosa ni mwizi kwa sababu ni msukuma.. sukumagang, ila hao wengine kwakuwa ni waZanzbar sio wezi, ni wasafi kbs"
 
Ninaweza kukuhakikishia kwamba, ukichukia pesa inayotumia na Kenya kuagiza bidhaa toka nje ya nchi, inazidi pesa inayotumia na nchi zote zinazotumia bandari ya Dar ukiacha DRC pekee.

Ninyi wakenya hamjui ni kwa kiasi gani uchumi wa Kenya unavyotegemea imports, Kama hata raw materials from agriculture sector pia Kenya inaagiza toka nchi za nje by 80% ya mahitaji yake wakati Kenya "is an Agricultural based Economy, hiyo ni dalili kwamba mpo katika hali mbaya Sana.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Do you know Kenya's main imports Ama wewe ukaongea tu bora mdogo inawezafunguka?

Kenya's main imports are machinery and transportation equipment, petroleum products, motor vehicles, iron and steel, and resins and plastics. Kati ya hivyo vitu vyote, nitajie ni kipi Kenya inatengeneza ya kutosheleza mahitaji yake. Kisha pia uniambie kati ya vlhizo bidhaa, no gani Tanzania inatengeneza now that nyinyi nchi yenu haitegemei imports.

Last time I checked, Tanzania is importing more or less the same things as Kenya, the only difference being that Kenya imports more of those items than your country and this is driven majorly by high demands of those products in Kenya than in Tanzania. Get informed
 
Mm naangalia the difference here [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 2275393
Bongolala, hizo ni bidhaa ambazo zinaenda nchi jirani. Hapo hakuna data za bidhaa ambazo zinabakia Kenya. And mind you, 80% of cargo that pass through the port of Mombasa zinabaki Kenya. Hii game tumewashinda mbali sana
 
Hizo siyo figures za Kenya as a country but ni za other countries using Mombasa port Tanzania included. Wewe najua akili yako ni ndogo can't reason properly.
Hebu niwekee ya Tz pekee tuone ina import kiasi gani na ku export kiasi gani via Mombasa port alafu tujue Mombasa port ina export nn Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bongolala, hizo ni bidhaa ambazo zinaenda nchi jirani. Hapo hakuna data za bidhaa ambazo zinabakia Kenya. And mind you, 80% of cargo that pass through the port of Mombasa zinabaki Kenya. Hii game tumewashinda mbali sana
Huna akili wewe, hivi unaelewa hata ulichokisema?
 
Hapa kwenye Airport ndio ukachanganya na vya bandarini? 😀 😀 😀 😀. Tunarudi kule kule volume matter unapotafuta capacity, JNIA Terminal 3 ni 6M per year na JKIA 18.5M per year.
Asante sana, so tumekubaliana JKIA inapokea abiria wengi kwa mwaka, sasa nikuulize, kati ya JKIA Terminal 1A na JNIA Terminal 3 gani kubwa. Mombasa is more effecient na inatumika na a stronger country therefore sio maajabu kuskia inazidi port zote za Tz kwa cargo. Although capacity ya dar+ mtwara etc ni kubwa
 
You said 98% of Ethiopia's cargo pass through the port of Djibouti. Assuming that the remaining 2% passes through Mombasa port, is it wrong for someone to say that Ethiopia uses Mombasa port? Or should a country use a certain port for all her imports 100% in order to be listed among the users of that specific port? Unareason aje bongolala?
Who told you that the remaining 2% must be through Mombasa?, There are other means like Airports and roads which are other means through which a country uses as means of importation.

What is important is for you to know that, apart from Uganda and South Sudan, there are nor other countries which depend on Mombasa port, it is mainly for your own consuptions like your white elephant fake SGR, it is mainly for domestic market.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom