Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanajivunia kuwa na li slum likubwa no.2 duniani [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220628-123230.jpg
 
Atapinga hadi ushangae. Kwanza vile umetaja nchi yao! [emoji2]
Wajinga ninyi, ndio sababu Alshababs wanawatia vidole kila siku, kwahiyo hizo containers mbili au tatu za Ethiopia, Tanzania, DRC, Burundi na Rwanda zinazopitia Mombasa mnahesabu?.

Ethiopia inatumia Djibouti ports by 98%, Eastern DRC, Burundi, Rwanda na Zambia wote Hutumia bandari ya Dar by 90%.

Wekeni data ni kiasi gani kinachopitia Kenya kwa mizigo ya Tanzania, Ethiopia, Burundi, Rwanda na DRC tuone [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ka Nairobi kazima kamezungukwa na ma slums left, right and center, hii kitu inawauma sana na kuyaondoa hawawezi mpk dunia inaisha, recent data zinasema Kibera ndio the largest slum in the world yn hata ile slum ya India kwa ss imepitwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
image_downloader_1656241491905.jpg
Screenshot_20220626-134513.jpg
 
Hii ni data ya 2015, inasema Kibera ni slum la pili kwa ukubwa duniani but now lime triple ndio li slum likubwa duniani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220628-123230.jpg
 
Nitajie nchi 5 zinazotumia bandari ya Mombasa, umuhimu wa bandari ili kufikia hadhi ya "hub" ni idadi ya nchi inazozihudumia. 90% ya mizigo ni imports za Kenya, kumbuka uchumi wa Kenya kwa Sasa mnanunua kila kitu toka nje

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Dar slum port inayohudumia nchi nyingi landlocked lakini inazidiwa na mombasa kwa cargo. Can you explain why?
 
Kuna mtu anaumizwa na ma slums but hakuna kitu atafanya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kenya ma slums yamejaa kila kona kiasi kwamba nyumba moja ya tajiri nyumba 10,000 za mafukara, Eastleigh and Eastland [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220626-163140.jpg
 
Wajinga ninyi, ndio sababu Alshababs wanawatia vidole kila siku, kwahiyo hizo containers mbili au tatu za Ethiopia, Tanzania, DRC, Burundi na Rwanda zinazopitia Mombasa mnahesabu?.

Ethiopia inatumia Djibouti ports by 98%, Eastern DRC, Burundi, Rwanda na Zambia wote Hutumia bandari ya Dar by 90%.

Wekeni data ni kiasi gani kinachopitia Kenya kwa mizigo ya Tanzania, Ethiopia, Burundi, Rwanda na DRC tuone [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Look now, you are running away from your own question. Didn't you ask us to list all the countries that use Mombasa port? Now that we've done exactly that, sasa unaleta vimaneno. If it's about numbers, Mombasa port handles more cargo than all Tanzanian ports combined. Ama lipi la kusema now that we've given you the data?
 
Hio point hakuna mtanzania anaweza kujibu. Tanzania na hivyo viinchi vya burundi hazina financial muscle kuipandisha namba dar port, sasa sijui hio port ingekua inatumika na tz pekeake hizo namba zingekuaje?
 
Watanzania huwa napokea shukran zenu mara kwa mara kutoka mataifa mbalimbali ila huwa nasahau kuwapa, kuna wagonjwa wengi sana kutoka mataifa tofauti hapa Afrika wanakuja hapa Muimbili kutibiwa magonjwa mbalimbali wanapona wanarudi kwao, wengine mpaka wanalia wakiwashukuru Watz.

Miezi kama mitano iliyopita kuna balozi wa nchi fulani nimesahau jina sijui ni wa Colombia vile, ila wa kutoka mataifa ya Amerika kusini, ni mmama alikuwa anaondoka na familia yake baada ya muda wake kuisha, aisee alikuwa analia mpaka anaingia kwenye ndege, anasema ameishi Tz kwa miaka mitano kwakweli anashindwa la kuongea zaidi ya kusema asante, anasema hakupenda kabisa kuondoka ila ndiyo hivyo ni lazima aondoke.

Jamani hii nchi inapendwa asikuambie mtu.
 
Dar slum port inayohudumia nchi nyingi landlocked lakini inazidiwa na mombasa kwa cargo. Can you explain why?
Because Kenya as a country imports everything, you even imports large volume of cereals from abroad, stupid country, stupid economy[emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom