Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa mbwa usiende nao kistaarabu mana wanakuzoea mapema alafu akishakuletea mazoea amaweka na kapicha kake anakokabadili angle zen anajitangazia ushindi, ukitaka kujua jinsi ya kutembea nao muangalie joto la jiwe ichoboy01 au chongchung utaelewa namaanisha nn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ground level [emoji116] barabaraniView attachment 2272873
img_20220621_171843_114-jpg.2272875
mtaani kwangu [emoji3516] una jingine.?
Uswahili wa hapa uko wapi sasa? Hawajui maana ya uswahili hawa watu!
 
Quality ya hizi barabara hata poshy suburbs za Karen, Westlands, Runda Estate na Kileleshwa huwezi pata! Kuna mkunya anabisha? Nimwage mpunga humu?

CC: Coco reborn, kikihboy
Nicxie, Teargas n Tony254
Saa zingine unafikirianga kwa tumbo. Mmezoea Estate bila barabara mkijengewa kidogo mnarukwa na akili. Yani barabara ya kawaida hadi drainage zimejaa uchafu ndio inakutia kiwewe hivi?
 
Kwenye mambo ya banks sidhani kama kuna battle na malazy. Hakuna bank hata moja ya Tanzania ipo kenya ila banks za Kenya zipo katika kila nchi ukanda huu. Kuna atleast bank moja ya Kenya au zaidi ya moja katika nchi hizi: Tanzania, Uganda, South Sudan, DR Congo na Rwanda. Tanzania kuna banks at least tatu za Kenya: KCB bank, NCBA bank na Equity bank.
Nyie mko strong kwenye retail banking tuu ila sisi strength yetu ni kwenye corporate banking.
 
Back
Top Bottom