Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Jirani ata-claim hii ni Kunyaland kawa kawaida ndo maana tunawakataza wasilete tour vans zao Tanzania!
Samia asije kufanya huu upuuzi wa kuwaruhusu kuingia mbuga zetu!

Plate number imewaharibia hiyo,la sivyo hiyo video ingeshabadilishwa kuwa ya masai mara
 
Oya we Nicxie Tandale streets [emoji116]nilivyokua nakwambia Tandale ziko na mitaa Safi kuliko huo upuuzi sijui guthirai yenye gorofa za udongo, hakuna lami wala sewage system, taa za barabarani [emoji23][emoji23][emoji23] cheki Tandale hii[emoji116] hadi walk ways wanazoView attachment 2273239View attachment 2273240View attachment 2273241View attachment 2273248View attachment 2273249View attachment 2273251angalia mifereji ilivyomikubwa [emoji3516]
Ahsante kwa picha mkuu. Nina siku nyingi sana nimepita huko sikuwa ninajua imeshapendeza hivi, barabara zenye mifereji zimetamalaki. Hongera sana TARURA.
 
Hio picha ya mwisho ndo inatisha lakini ubaya ni kwamba hapo ni kampala.
2825546_F2AE43E2-17F2-4D2C-80CE-C2B9C8885F07.jpeg
2806652_2456362_tapatalk_1586268125283.jpeg

Na hapa ni kampala
 
The great Kariakoo, angalien background kweny hii video
Alafu mtu anataka kulinganisha Dar na ka Nairobi kwenye concrete jungle hii dhambi ni ya kwenda motoni kabisa, hebu Wakunya wote piteni hapa na msiangalie nyomi ya watu nyie angalieni hilo jungle tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
So ma star wote wamekuja Tz this time, asanteni Wakenya kwa kuzidi kutuletea watalii mana mlidhani mtatupa kashfa kumbe ndiyo kwanza mmetupa kiki, Mungu akipitisha hakuna wa kupangua. Heheheh hakuna Star hata mmoja aliyeenda kenya kutalii this time [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tandale tu imekufanya umepost hadi barabara za Thika road kweli.? 😂😂😂
Kilaza mwenzako mentioned Runda na Karen to compare with uswazi iitwayo Tandale. I was just trying to put him to his lane. Hakuna posh estate yoyote nimeleta kwenye hizo picha zote
 
Kilaza mwenzako mentioned Runda na Karen to compare with uswazi iitwayo Tandale. I was just trying to put him to his lane. Hakuna posh estate yoyote nimeleta kwenye hizo picha zote
Kwani no uongo kwamba 60%-70% ya Karen ni matope, na hata lami zilizopo ni mbaya.?
 
Back
Top Bottom