The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Naona dalili za ufukara wa kutupwa kwenye maandishi yako.Sasa kubweka kote kumbe mdau anatumia tecno, nina uhakika akiambiwa atingishwe mataqo apewe simu zetu Iphone atakubali
Naona dalili za ufukara wa kutupwa kwenye maandishi yako.Sasa kubweka kote kumbe mdau anatumia tecno, nina uhakika akiambiwa atingishwe mataqo apewe simu zetu Iphone atakubali
Lot 4 tabora isakaMbona sielew.. lot no 4 ni ipi hio? Ile Tabora Isaka? Na hio lot no 6 ndo ipi tena? Na nan huyo kapewa tender document ya lot no 6
Akili za kitoto hizi malkia wa Mombasa.Sasa kubweka kote kumbe mdau anatumia tecno, nina uhakika akiambiwa atingishwe mataqo apewe simu zetu Iphone atakubali
Asa mbona UN HQ Tanzania pia ipo Arusha, hii hapa 👇Upende usipende Nairobi inaiweka Africa kwenye map kwenye masuala ya UN. Ukipinga upinge kwenye facts.
Mzee wangu kakimbia 😂😂😂Mkalee Nicxie vipi mbona sikuoni tena mzee wa kuumizwa na ma slums ya Kenya mpk unalazimisha na sisi tuwe na ma slums kama yenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee badala wewe ushukuru Kenya kwa kuhost UN headquarters on behalf of the entire African continent, wewe unatutusi kwamba vilikuja kwa sababu ya usaliti. Ujue hata bara la Asia halina UN headquarters pamoja na bara hilo kuwa nchi matata kama Japan, India na China. South America haina licha ya kuwa na nchi matata kama Brasil na Argentina.Zimekuja kwa sababu ya usaliti wakati wenzenu wanasaidia kupata uhuru nyingi mlikua mnaona mzungu ndio bora. Nothing else
Hao dawa yao ni kupiga panapouma hakuna kumpa pumzi, unapiga panapouma akileta propaganda mwambie twende ground, wanaleta picha za juu za baadhi ya maeneo unplanned alafu wanaita slums ukimwambia twende ground tuone hizo slums anakimbia.Mzee wangu kakimbia [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie wenye headquarters mnawakaribia kimaendeleo hao wasio na headquarters?Aisee badala wewe ushukuru Kenya kwa kuhost UN headquarters on behalf of the entire African continent, wewe unatutusi kwamba vilikuja kwa sababu ya usaliti. Ujue hata bara la Asia halina UN headquarters pamoja na bara hilo kuwa nchi matata kama Japan, India na China. South America haina licha ya kuwa na nchi matata kama Brasil na Argentina.
Naona wanamuhitaji hadi bakhresa 😂Hapo ndipo utajua utofauti wa utajiri wa Kenya na Tz, kenya wana kampuni 700 Tz zime invest only $500mil cc kampuni moja tu uliza ita invest kiasi gani. Lake oil pekee uwekezaji wake Kenya umezidi uwekezaji wa kampuni 500 za Kenya (mafundi cherehani, watengeneza sabuni na vi bank vichache) zilizowekeza Tz.
Hofu yangu ni kwamba hawa kina Bakhressa wakienda kule watafanya investment za kufa mtu kama walizofanya huku alafu itakuwa shida mbele, kule wasifanye investment ila wapeleke products tu, au wafanye vi investment kama wanavyofanya Wakenya huku kwetu, vi investment jua kali.Naona wanamuhitaji hadi bakhresa [emoji23]
Hahaha Africa, Asia, South America, Carribean na Australia kuna UN Headquarters moja na ipo Nairobi. Inaitwa UNON, yaani UN Office at Nairobi. Hapo UNON kuna bodies mbili za UN ambazo zina headquarters Nairobi. UNEP (United Nations Environment programme) inayoshughulika na maswala ya mazingira. Ya pili inaitwa UN Habitat ambayo inashughulika na maswala ya nyumba na makaazi ya watu. Anna Tibaijuka ambaye ni Mtanzania alikuwa kiongozi katika UN Habitat zamani wakati ilikuwa body ndogo, lakini sasa hivi imepandishwa hadhi.Asa mbona UN HQ Tanzania pia ipo Arusha, hii hapa 👇View attachment 2273002View attachment 2273004View attachment 2273006View attachment 2273010View attachment 2273012View attachment 2273013View attachment 2273015
Aisee badala wewe ushukuru Kenya kwa kuhost UN headquarters on behalf of the entire African continent, wewe unatutusi kwamba vilikuja kwa sababu ya usaliti. Ujue hata bara la Asia halina UN headquarters pamoja na bara hilo kuwa nchi matata kama Japan, India na China. South America haina licha ya kuwa na nchi matata kama Brasil na Argentina.
Kuna tofauti kubwa ya kuwa na office na kuwa na headquarters. Hayo ni mambo mawili tofauti. Headquarters za UN ndio hizi hapa. Hata World Bank na IMF zina ofisi katika nchi nyingi ila headquarters yao ni USA.Mbona wana office Maeneo mengi? Hata huko Japan, China etc.
View attachment 2273047
View attachment 2273048
View attachment 2273049
Akili za kitoto hizi malkia wa Mombasa.
Nimbongo mwenzio, karibu sanaNani developer wa hii platform? Ni mtanzania?
Ushalainika mtoto, nilikwambia utalegea tu hii ndiyo JF [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa ikiwa unatumia kopo la kichina tecno na umevimba kichwa, taqo si utaliwa ukihongwa Iphone hata 7