Ni kweli bongolala 😂 😂Kwani no uongo kwamba 60%-70% ya Karen ni matope, na hata lami zilizopo ni mbaya.?
Hiyo battle mbona tulishaweka humu.? Au niirudishe ukose amani.? 😂😂😂, Nikusaidie kupost Karen.?Ni kweli bongolala 😂 😂
Post bongolala 😂 😂Hiyo battle mbona tulishaweka humu.? Au niirudishe ukose amani.? 😂😂😂, Nikusaidie kupost Karen.?
Unapimanisha ghorofa za over 20 floors na hizo ghrofa mbilikimo za kariakoo. 🤣 🤣 🤣 inferiority complex inakuwasha kama kama pilipili.Vs...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2273602View attachment 2273603
Ntakukosesha amani ulale vibaya bure, kesho mchana nikitoka job I'll be here posting your matope poshPost bongolala 😂 😂
Sie nyinyi mliokua mkilinganidha old 2 storeys buildings in Mombasa vs Dar 😂😂 👇saivi unalia nini.?Unapimanisha ghorofa za over 20 floors na hizo ghrofa mbilikimo za kariakoo. 🤣 🤣 🤣 inferiority complex inakuwasha kama kama pilipili.
Exactly, Mombasa ndio size ya Dar, Nairobi kwa ma ghorofa iko on another level. One of the best in Africa.Sie nyinyi mliokua mkilinganidha old 2 storeys buildings in Mombasa vs Dar 😂😂 👇saivi unalia nini.?View attachment 2273670
Bongolala, there's no estate comparable to Karen Tanganyika nzima. Hata uende hadi wapi huwezipata. Wacha kujisumbua bure. Karen was named one of the best residential areas in the world sasa ni usingizi gani utanikosesha? Wacha kujitekenyaNtakukosesha amani ulale vibaya bure, kesho mchana nikitoka job I'll be here posting your matope posh
Okay so now niExactly, Mombasa ndio size ya Dar, Nairobi kwa ma ghorofa iko on another level. One of the best in Africa.
Wacha bwana 😂😂😂 kwamba Karen it's one of the best in the world.? au ni typo.?Bongolala, there's no estate comparable to Karen Tanganyika nzima. Hata uende hadi wapi huwezipata. Wacha kujisumbua bure. Karen was named one of the best residential areas in the world sasa ni usingizi gani utanikosesha? Wacha kujitekenya
Kwani ukona ulemavu wa hesabu. 🤣 🤣 🤣 Nairobi iko champions league ya cities on the Southern Hemisphere. Nairobi haiko hii ligi ndogo ya East Africa.Okay so now ni
1: Mombasa
2: NAIROBI
Right.?
Of course it's a typoWacha bwana 😂😂😂 kwamba Karen it's one of the best in the world.? au ni typo.?
Those are access roads bongolala. Not one continuous road. Hiyo kiingereza rahisi hukielewi?28 kilometers Kibera what does it mean? 😂😂😂😂 Kwamba wamejenga kilometers 28 Kibera? 😅😅😅
Kilometers 28 mnazijua mnazisikia?
View attachment 2273474
Sie nyinyi mliokua mkilinganidha old 2 storeys buildings in Mombasa vs Dar [emoji23][emoji23] [emoji116]saivi unalia nini.?View attachment 2273670
Wewe mpuuzi mimi mwenyewe naweza andika documents zangu nikasema Tandale is the best in DAR .. mimi huniongopei kwa maandishi wew mpuuzi Karen enyewe kwa ground si ndio hii 👇Of course it's a typo
![]()
Karen among top global neighborhoods to outperform regional markets
Nairobi’s Karen has featured among global neighborhoods that are likely to outperform regional markets in the next five years.www.google.com
Kojoa sasa ulale
Very true, hii Mombasa level zake ni Zanzibar au Tanga, hakuna chochoteHili kopo labda lishindane ba Zanzibar au Tanga, Tena Zanzibar inawakimbiza vibaya kwenye Tourism and Hospitality, Mombasa mule cha muhimu ni hiyo bandari na pale English point na estate ya Mchina ya Jiangxi international.
View attachment 2273674
View attachment 2273675
View attachment 2273676
View attachment 2273678
slum iko wapi hapa wakati unaona imepangika?Sinza ina uswahili gani wakati unaona kabisa imepangika?