Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heheheheeee ground imekushinda eehh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I already showed you this bongolala
Githurai "slum"
images - 2022-06-26T132838.414.jpeg

Tandale middle-class area
images - 2022-06-26T132741.249.jpeg
 
Documents facts .? 😂😂😂 Maandishi hayo hata mimi naweza andika brathee, njoo Tz uone ukweli kwa macho yako, then ujue vile we are not of your low level bro
Andika basi uweke kwamba Kenya ndio inaongoza kwa ufukara hapa EA
 
Heheheheeee ground imekushinda eehh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂 Akileta ground level za vipicha vya kuokota google atakimbia humu leo, by the way naishi Sinza, hapo tandale ni mtaa wa tatu tu nashuka hapo now nimnyooshe mbwa huyo, na hiv leo nipo free tu
 
Kwasababu ground imekushinda sasa tufanye hivi, niletee documented fact inayotambua kwamba Tandale ni slum [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ground ni nini bongolala kizee?
 
Ka Nairobi kazima kamejaa ma slums everywhere [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
image_downloader_1656241491905.jpg
 
Hakuna haja ya kumu ignore hawa kuna jinsi ya kutembea nao, wewe tulia nampa dose nzr saizi utasikia kilio, tafadhali kaa mbali damu zisije kukurukia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakukubali. [emoji109][emoji109]
 
Andika basi uweke kwamba Kenya ndio inaongoza kwa ufukara hapa EA
Sina hiyo time mimi, ila mwenye kuona na aone, uje ujionee, "kuona ni kuamini", usiamini kila maandishi zingine ni propaganda tu, njoo uone vile maskini wa Tanzania anamiliki mifugo, mashamba n.k... huko kwenu maskini wa mwisho ni yule anaekufa kwa kukosa maji na chakula.. huwezi sikia ujinga huo Tanzania Bro, alafu mjitathmini sasa ni nani Kati yetu ni fukara wa kutupa
 
Kwa nini nyie pia mnatumia neno "chenye" halafu sisi tukikitumia mnasema kwamba hilo sio kiswahili sanifu? joto la jiwe wewe ndio una tabia hii ya kusema "chenye" sio kiswahili sanifu.
Shida ni kwamba kiswahili hukijui vizuri, hapo hakuna kosa lolote la kisarufi.

Kipande chenye.....
Chungu chenye.....

Hizo zote ni sahihi, ila ninyi Wakenya mnatumia neno 'chenye' mahali pasipotakiwa, mfano hayo maelezo yako tu yana makosa mengi ya kisarufi.
 
Sama boy 255 umeona Mkalee kakimbia? I told you hawa mbwa kuna jinsi ya kutembea nao, usiwape nafuu kabisa, akiweka ugoko weka jiwe lazima acheue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa nini nyie pia mnatumia neno "chenye" halafu sisi tukikitumia mnasema kwamba hilo sio kiswahili sanifu? joto la jiwe wewe ndio una tabia hii ya kusema "chenye" sio kiswahili sanifu.
Hiyo ni mada ya upatanisho wa kisarufi, ndio mana huwa nawataniaga nyie jamaa mkaombe ada zenu kwa walimu waliowandisha Kiswahili..
Ukipata time unitafute nitakua nakufundisha bure kiswahili fasaha
 
😂😂 Akileta ground level za vipicha vya kuokota google atakimbia humu leo, by the way naishi Sinza, hapo tandale ni mtaa wa tatu tu nashuka hapo now nimnyooshe mbwa huyo, na hiv leo nipo free tu
Kumbe nawe unaishi uswazini 😂 😂😂😂😂
Screenshot_20220626-141342.png
 
Ka Nairobi kazima kamejaa ma slums everywhere [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2272860
Hako KaNairobi unaokadharau ndio mji wa kipekee southern hemishere ambayo ina UN Headquarters. Kuna nchi nyingi sana south of the equator lakini Kenya ndio nchi pekee chini ya Equator yenye UN Headquarters. Kenya ndio nchi ya Pekee Africa, Asia, Carribean na South America yenye UN headquarters. Miji mingine yenye UN headquarters yapo US na Europe pekee. Asia haina UN Headquarters, vile vile South America haina UN headquarters. Carribean pia haina UN headquarters. Heshimu haka Kanairobi unaokadharau. Last week kalihost delegates kutoka nchi zote duniani kwenye UN Biodiversity conference.
world-un-headquarters-map.jpg
 
Nakukubali. [emoji109][emoji109]
Hawa mbwa usiende nao kistaarabu mana wanakuzoea mapema alafu akishakuletea mazoea amaweka na kapicha kake anakokabadili angle zen anajitangazia ushindi, ukitaka kujua jinsi ya kutembea nao muangalie joto la jiwe ichoboy01 au chongchung utaelewa namaanisha nn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hako KaNairobi unaokadharau ndio mji wa kipekee southern hemishere ambayo ina UN Headquarters. Kuna nchi nyingi sana south of the equator lakini Kenya ndio nchi pekee chini ya Equator yenye UN Headquarters. Kenya ndio nchi ya Pekee Africa, Asia na South America yenye UN headquarters. Miji mingine yenye UN headquarters yapo US na Europe pekee. Asia haina UN Headquarters, vile vile South America haina UN headquarters. Heshimu haka Kanairobi unaokadharau. Last week kalihost delegates kutoka nchi zote duniani kwenye UN Biodiversity conference.
View attachment 2272867
So hii lisala yako imebadili ukweli kwamba ka Nairobi kamezungukwa na slums?
 
Back
Top Bottom