Your favorite hobby ya kumaliza mate mdomoni na umbea.kuropokwa ndo nini? Gikuyu?
Your favorite hobby ya kumaliza mate mdomoni na umbea.kuropokwa ndo nini? Gikuyu?
Duh, zitunze hizi picha manake soon naanza kupiga nyundo.Dar najua ni uswazi kushoto kulia. Ukitoka hapo ni pori na shamba za mihogo 😂 View attachment 2273071View attachment 2273072
dude learn swahili uache kuchanganya that stupid Mumbi language na Kiswahili!Your favorite hobby ya kumaliza mate mdomoni na umbea.
Dar kuna hadi shamba za mihogo ndugu 😂Duh, zitunze hizi picha manake soon naanza kupiga nyundo.
Hio ni shauri yako we mzee.dude learn swahili uache kuchanganya that stupid Mumbi language na Kiswahili!
Kivipi? Kwani hizo shamba za mihogo sio Dar?Umekula kichapo mpaka umeamua uje kivingine 😂😂😂
dude learn swahili uache kuchanganya that stupid Mumbi language na Kiswahili!
😂😂😂😂 Gorofa ni za udongo mazingira ni hatarishi mzee wangu.. tofauti ya Tandale na hapa ni hizo gorofa za udongo tu, otherwise Tandale Iko na barabara za concrete all over, sewage system nzuri na taa barabarani ..Umeumia siyo? Hiyo Githurai "slum" ni bora mara mia kuliko uswazi zenu mnaita middle-class areas View attachment 2273085View attachment 2273086View attachment 2273087View attachment 2273088
😂😂😂 Unaijua Tandale wewe.?Kivipi? Kwani hizo shamba za mihogo sio Dar?
Halafu nishakuwekea picha nyingi za Githurai "slum" just to remind you that it's way better than those uswazi hovels with no roads. Ama hujaziona nitume tena? 😃😃
Alafu kuna hili swala la choo cha nje, kenya hii tabia iko ushago pekeake.Dar kuna hadi shamba za mihogo ndugu 😂
Kutoka wapi.?
Unafahamu kuwa chato ni wialaya tuMfugale aka chato airport, he he😂😂🔨🔨View attachment 2271826
Unamaanisha hapa kuna sewerage system? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Gorofa ni za udongo mazingira ni hatarishi mzee wangu.. tofauti ya Tandale na hapa ni hizo gorofa za udongo tu, otherwise Tandale Iko na barabara za concrete all over, sewage system nzuri na taa barabarani ..
😂😂😂 Ona nipe 20 mins Tandale ni hapo chini tu, nashuka now upate picha kadhaa, nakukomesha leo mbwa weweUnamaanisha hapa kuna sewerage system? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 2273111
Hata kwa kuangalia tu, do you need to sweat to know which place is between the two?
View attachment 2273117
Tandale middle-class ndio hii hapa😂😂😂 Unaijua Tandale wewe.?
Nairobi of course.Kutoka wapi.?