Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna maeneo ya Nairobi yanakaa kama New York na huko ndiko UN headquarters ipo. Maeneo ya Gigiri. Wewe unafocuss na slums but unakosa kuona kwamba haka KaNairobi kanaiweka Africa kwenye map.
Kuna bara nzima ya watu zaidi ya 3 billion na haina UN headquarters, nazungumzia kuhusu bara la Asia. Kuna bara la South America wanatamani kuwa nayo lakini hawana. Hata kwenye idadi ya embassies, Nairobi ina zaidi ya 100 embassies. Pengine South Africa na nchi moja mbili za North Africa tu ndio zimeishinda Nairobi kwenye idadi ya embassies barani Africa.
Nairobi inaiweka Africa kwenye map.? 😂😂😂😂 Africa gani unayoizungumzia hapa kwanza.? 😂😂 Heb muachege vituko
 
Nairobi inaiweka Africa kwenye map.? 😂😂😂😂 Africa gani unayoizungumzia hapa kwanza.? 😂😂 Heb muachege vituko
Upende usipende Nairobi inaiweka Africa kwenye map kwenye masuala ya UN. Ukipinga upinge kwenye facts.
 
Huyu journalist anasema kwamba Uganda iliexport gold worth $3 billion in 2019.


Hii site inasema kwamba Uganda iliexport gold worth $3.4 billion in 2020.

Sasa swali ni je hizi gold zinatokea wapi kwa maana Uganda kwa sasa hawana gold mines kubwa? Hizi gold zitakuwa zinatokea DRC. Uganda wamediscover gold mining site yenye gold ores worth $12 trillion in western Uganda juzi lakini bado hawajaanza kuichimba. Sasa sijui kwa nini Mungu katusahau sisi Kenya kwenye suala la madini. Yaani kabisa Kenya hatuna madini, isipokuwa titanium ambayo inakwisha next year. Soda ash tunayo lakini haina thamani. Anyway, DRC, Uganda na Tanzania nyote mna dhahabu kwa wingi chini ya ardhi lakini bado nyote ni masikini kutushinda. Hapo ndio kuna kizungumkuti. Mungu hawezi kupatia kila kitu.
Nyie mna utajiri gani? Sifa zimewajaa , mgekua matajiri mngekua mnapanda vipanya na chai maharage Nairobi? Pungseni sifa utajiri uwa haujifichi . Na GDP hewa yenu
 
Nyie mna utajiri gani? Sifa zimewajaa , mgekua matajiri mngekua mnapanda vipanya na chai maharage Nairobi? Pungseni sifa utajiri uwa haujifichi . Na GDP hewa yenu
Gdp per capita ya Kenya ni double ya Tanzania. Sasa hata ukilia machozi hutobadilisha hio fact.
 
Wazee wa GDP mupo? Nimesoma comments kwenye hii habari nimecheka, jamaa zetu wako desparate kwerikweri…….[emoji28][emoji28]


IMG_0088.jpg
 
Sasa kubweka kote kumbe mdau anatumia tecno, nina uhakika akiambiwa atingishwe mataqo apewe simu zetu Iphone atakubali
 
Hako KaNairobi unaokadharau ndio mji wa kipekee southern hemishere ambayo ina UN Headquarters. Kuna nchi nyingi sana south of the equator lakini Kenya ndio nchi pekee chini ya Equator yenye UN Headquarters. Kenya ndio nchi ya Pekee Africa, Asia, Carribean na South America yenye UN headquarters. Miji mingine yenye UN headquarters yapo US na Europe pekee. Asia haina UN Headquarters, vile vile South America haina UN headquarters. Carribean pia haina UN headquarters. Heshimu haka Kanairobi unaokadharau. Last week kalihost delegates kutoka nchi zote duniani kwenye UN Biodiversity conference.
View attachment 2272867
Zimekuja kwa sababu ya usaliti wakati wenzenu wanasaidia kupata uhuru nyingi mlikua mnaona mzungu ndio bora. Nothing else
 
And the owner is a Tanzanian [emoji23]
Hapo ndipo utajua utofauti wa utajiri wa Kenya na Tz, kenya wana kampuni 700 Tz zime invest only $500mil cc kampuni moja tu uliza ita invest kiasi gani. Lake oil pekee uwekezaji wake Kenya umezidi uwekezaji wa kampuni 500 za Kenya (mafundi cherehani, watengeneza sabuni na vi bank vichache) zilizowekeza Tz.
 
Back
Top Bottom