Apa hamna tofauti na mombasa..Nyumba za kiswahili zimejaa..Honestly i hate such type of houses..Kwanza kukinyesha..waga matope ni mingi..alafu majority of houses za uswahili waga zina poor drainage system..wacha tuonge tu ukweli..Alafu afadhali kibera wanaanza kujenge flats...Hivi mbona mnapenda such Kind of houses?Oya we Nicxie Tandale streets 👇nilivyokua nakwambia Tandale ziko na mitaa Safi kuliko huo upuuzi sijui guthirai yenye gorofa za udongo, hakuna lami wala sewage system, taa za barabarani 😂😂😂 cheki Tandale hii👇 hadi walk ways wanazoView attachment 2273239View attachment 2273240View attachment 2273241View attachment 2273248View attachment 2273249View attachment 2273251angalia mifereji ilivyomikubwa ☝️