Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi chuki zako zingekuwa catalyst ya kuwezesha Tanzanian kuipiku Kenya hapo tungekuwa na wasiwasi. Lakini kama bado mnasoma number yetu then keep hating man 😂
uzuri tuna kunja tanzania kwa style zote tunataka. wanatupea kwa position yoyote
 
Hizo picha zote umepiga umepiga side moja kukwepa mwanga wa jua
Jua haikuwepo. Kulikuwa na mawingu mazito. Mvua ilikuwa inatishia kunyesha lakini haikunyesha. Simu kama ingekuwa na camera mbovu hungeona chochote wakati lighting ni mbovu kwa sababu ya mawingu. Pili gari ikiwa full speed na bado ipo sawa kwenye picha, haipo blurred ujue camera ipo sawa. Camera mbaya itatoa picha kama hii hapa kwa gari inayokimbia zaidi ya 200 km/h
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…