Huna picha quality? Simu yako nikama ikona shida.Ngoja tuongeze angle kdg mana dunia ya sasa humuongopei mtu.View attachment 2267146
Wewe picha unatoa mtandaoni mm napiga mwenyewe, that's a difference.Huna picha quality? Simu yako nikama ikona shida.
Eti nimiliki nyumba eneo kama hii kisha nijisifie 😂😂😂😂😂yani kwa kifupi ardhi kubwa ya nairobi inamilikiwa na watu wachache sana kias kwamba hata zile estates zao zinamilikiwa na wachache, ndio maana mkenya anaewez kupanga bedsitter hujiita middle income 🤣🤣🤣🤣 wakat middle income watanzania anamiliki nyumba zaidi ya moja na magari kadhaa
We unadownload thumbnails. 🤣 🤣 🤣Wewe picha unatoa mtandaoni mm napiga mwenyewe, that's a difference.
Mabati reloaded[emoji23][emoji23]Zoom hadi tuone chumba cha kulala
Ruai slum
View attachment 2267110
Mabibo middle-class area [emoji23] [emoji23]
View attachment 2267112
Kuna fala aliweka picha ya uhuru park ati amepiga jana[emoji23][emoji23]Nice Progress at Uhuru Park.
![]()
Punguza wivulisilo na maji na lililokubuhu kwa kipindupindu!
wangeongeza pia 'Tuma ya Macho.!' 😆🙉Its high time we start copyrighting our phrases. I am happy stevo simple boy did it for, "Freshi Barida" hawa watanganyika hawana creativity kabisaaView attachment 2267170
nyef nyef kumbe hata hujui website ya UN HABITAT. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2266586
Alafu nyinyi mnatuma ka-ambassador eti arepresent rais wenu kwenye meeting serious kama hii. Huwa mpo serious na EAC kweli? Nini ngumu kumtuma hata waziri mkuu au naibu wa rais kama rais ameshikika?