eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,803
- 16,475
Wewe mkuria? Hilo neno mura wanapenda sana kuitumia wakuria
Mura maana yake ni mwanaume, mura.
Wewe mkuria? Hilo neno mura wanapenda sana kuitumia wakuria
Tunawatesa wakenya kwa kutumia njia zote za kuwaumiza ili msifikirie kuja Tanzania, hatuwataki kabisa ninyi ni wezi na majambazi na mtatuambukiza ukabila wenu.So, kwa logic yako, wanaharass Wakenya kuwapa rushwa, sababu hawapendi rushwa?
![]()
Tragedy on Mt Kenya as Ugandan choppers crash
Uganda Battle Group 10 under the command of Edison Muhanguzi had captured Baidoa in 2012. Baidoa is about 243km from Mogadishu while Jowhar is 90km. That meant travelling 243km by road from...www.monitor.co.ug
Wivu iko wapi, we have many choppers here bongolala
reminds me so much when i was in los angeles 🤔🤔
Wakitia pia zao tu, ni kichapo cha mbwa mwizi, serikali imedhamiria kuwatia adabu washenzi kabisa hawanatamani wadondoshwe Mungiki kama 10 hivi halafu tuone GoK itafanya nini! Kule Migingo walivuliwa nguo wasijibu mapigo mpaka leo!
Hebu leta ya LA tu-compare kama ina viwango duni namna hii!reminds me so much of Los AngelesView attachment 2269706
Si poa kuitana negro, lakini pia nyie ni washenzi sana, mnakuanga busy mkituita monkey na kusema ngozi yetu ni nyeusi sana, mbona hamjiangaliii pia?
Umewashwa, do you knw why uganda choppers crashed, pilot error fool, the army was communicating in luganda on kenyan territory, apples and mangoes bongolala
Tell that to your bongolalas walikua hapa wakipongeza light skinsKwani kuwa mweupe ndiyo ufahari!!?? Kwanza hakuna muAfrika mweupe.
Hili ni handaki au?Pangani interchange inatoa wadanganyika jasho sana [emoji23][emoji23]View attachment 2269618
evidence? and what error was ur crash in Narok around Tanzanin border communicationg in Kikuyu to our radar communication around the area?Umewashwa, do you knw why uganda choppers crashed, pilot error fool, the army was communicating in luganda on kenyan territory, apples and mangoes bongolala
Tafuta kazi za kufanya wew. Au njoo bongo nikuajiriPicha ambazo nimepiga mimi mwenyewe sasa hivi. Kuna Malazy wanaosema kwamba Wakenya hatupigi picha.
View attachment 2269711View attachment 2269712View attachment 2269713View attachment 2269714View attachment 2269715
Cc Simon NDINDA
🤣 🤣 🤣 Umejitahidi Mkulungwa, Hadi ume freeze motion, Halafu mbona husahau, si tulisema siku nyingi, au tunasema kila siku hupigi picha😎Picha ambazo nimepiga mimi mwenyewe sasa hivi. Kuna Malazy wanaosema kwamba Wakenya hatupigi picha.
View attachment 2269711View attachment 2269712View attachment 2269713View attachment 2269714View attachment 2269715
Cc Simon NDINDA
Megapixel ya Camera ya simu yangu ni wazimu mzee. Mimi nikinunua simu naangalia camera kwanza, vitu vingine baadaye. Gari ya Safari rally inakimbia zaidi ya 200 km/h lakini camera ya simu haipigi blurred images. Sija-freeze chochote ndugu. Halafu pia hakuna jua, ni cloudy, lighting ni poor lakini bado unaona kila kitu kinachofanyika.🤣 🤣 🤣 Umejitahidi Mkulungwa, Hadi ume freeze motion, Halafu mbona husahau, si tulisema siku nyingi, au tunasema kila siku hupigi picha😎