Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Corruption,Al shabab ndio ilihamisha pipeline,and nor forgeting blessed narure of Tanzania
Two LDC teamed up and thought they can bury Big brother Kenya 😂
End result is Kenya gets a refinery 10 times bigger.
Ya Mungu ni mengi. It was a blessing in disguise, juu M7 angeweka pipeline, we would have rushed to build a small mini refinery like the one in Hoima 😂😂

In 10 years Kenya will have pipelines to Rwanda, South Sudan and Ethiopia. And Bongolala will still be waiting for the tanga tanga refinery 😂😂
 
Machafu mnuka nyaa ameng'ang'ania tanga aijengwi refinery 😃,yan wangese wamekurupuka kujenga refinery halafu oil pakuipata hawajui mpaka sasa hivi,wanakuambia turkana eti 😃😃

Mambo ni mengi hapo... Hawana source ya crude oil hadi Sasa... Huko middle east mambo ya siasa zao na usalama waki import kusafisha Bei itakuwa ghali kuliko kuagiza refined.

Pia hawana power plant, hiyo refinery inahitaji Umeme mkubwaa, kama data center tu iliwashinda hiyo wataweza?

Tatu hawana soko la uhakika la kuuza mafuta hayo. Uganda anaenda na refinery yake, TZ Iko ya Tanga.. na hata isipokuwepo tuna mfumo mzuri wa kununua mafuta kwa Bei rahisi tu. Burundi, Rwanda na DRC wanamchukua mafuta TZ, bado Zambia tuko na TAZAMA yetu na Sasa hivi wanaongeza capacity mafuta yapite mengi. TPDC wafanye mpango wa Tank reserve pale Mbeya then tuweke extension ya pipeline kwenda Malawi. Kama jinsi Sasa hivi Kuna mpango wa kuchepusha TAZARA kutoka Mbeya kwenda Malawi.

Kasongo yupo kwenye panic mode. Dangote bado anasikilizia tu... In the end.. Kasongo atakuwa na construction company kubwa sana maana zile equipment ni za kwake, sio za Dangote.
 
you could tell from his face gesture jana amemind sana, i know alimualika for that but 🤣🤣🤣 kumbe mzee ana yake
 
Two LDC teamed up and thought they can bury Big brother Kenya 😂
End result is Kenya gets a refinery 10 times bigger.
Ya Mungu ni mengi. It was a blessing in disguise, juu M7 angeweka pipeline, we would have rushed to build a small mini refinery like the one in Hoima 😂😂

In 10 years Kenya will have pipelines to Rwanda, South Sudan and Ethiopia. And Bongolala will still be waiting for the tanga tanga refinery 😂😂
Nyie msiende kuchangisha ela shauri yenu 🤣 🤣 dangote kasema hatoi ela yake
 
You will get old and die before you see any refinery in Tanga.
Kelele zishaisha mjini, sasa mda wa wakubwa kuongea ambao wana uhakika crude inatoka wap
1790873281790.png

View: https://www.instagram.com/p/Dd7FgublQsh/
 
you could tell from his face gesture jana amemind sana, i know alimualika for that but 🤣🤣🤣 kumbe mzee ana yake

Kasongo fala Sanaa, Yani alivyokuwa anamtambulisha Mzee kwa kumpambaa pambaa na kumjaza bhas akajua Mzee atakuwa bwege ...

M7 ni kichwa sana... Kimoyo moyo alikuwa anacheka tu. Mtoto mdogo kasongo alitaka kumjaza boksi.
 
iKuna yule mwingine kapanda kaongea kifaransa mwanzo mwisho kaondoka, 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom