Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Hahaha. Crate moja imeanguka. Wanakimbilia soda.
Acha upuuzi I dont entertain mediocre arguments.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji848] sasa unataka kusema unajua nyeri kuniliko? Do you know which part of Kenya come from?
Bro wacha kudanganya watu hapa jamii forums kwamba umetembea Kenya. If you desire to come to Kenya I can host you in Nairobi for free and take you around town.
Kuna watu wana medieval flying objects watakuambia wao ndio wako juu. Wakati hata basic systems za target locking na guided missiles hazina.Updf kwenye jeshi la anga yuko vizuri hakuna wa kumfikia east africa
Hawa watu wana dhiki sana wanadandia mpaka ndege hadi ulaya. Kudandia Helicopters na racing cars ni vitu vya kawaida kwao.watu wa kudandia helicopter lazma wawekewe fence! Akili yao wanaijua wenyewe wanaweza taka kudandia racing car!
You are a very petty old man.He has been to Tanzania more times than in Kunyaland! Mind u he studied there and his family lived there during Amin and Obote era! And he never put on Army regalia or used an army chopper!
Umasikia kampeni ya siku 10 kuanzia Leo kuwatafuta na kuwakamata wakenya wote huko Loliondo na Ngorongoro?Hizi chuki zako zingekuwa catalyst ya kuwezesha Tanzanian kuipiku Kenya hapo tungekuwa na wasiwasi. Lakini kama bado mnasoma number yetu then keep hating man [emoji23]
Hurry up guys, it might save your sorry asses and help your country overtake Kenya 😂 😂 😂Umasikia kampeni ya siku 10 kuanzia Leo kuwatafuta na kuwakamata wakenya wote huko Loliondo na Ngorongoro?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Muhimu hapa ni kwamba tunawanyanyasa na kuwatesa ili msifikirie kuja Tanzania, kutokana na shida na njaa zenu, malazimisha kuja na mumeamua kukubaliana na mateso mnayopata. Kumbuka Tanzania ndio inaongoza Afrika kwa wakenya kutuma "remittances" Kenya, bila Tanzania wakenya hamuwezi kusaidia familia zenu nyumbaniYour police with dirty white uniforms are hungry, frustrated, and underpaid. Kuharass Wakenya ni njia yao ya kuongeza mapato.
Bila pesa ya Wakenya ya biashara na utalii, mngekuwa kama Burundi tu.
I know for a fact utalii wa Arusha na surroundings unategemea Wakenya at least 85%.
Hata mimi nimeshangaa how petty he can be!You are a very petty old man.
Huyo aliumbika haijakuwa tena na Tamas ya kurudi jf. Picha zake zote alidownload na kusema eti alizipiga yeye mwenyewe akiwa Nairobi! 😃😃😃Hivi umeipiga hiyo picha mwenyewe ama? 🤣 🤣
Ni nini kijana wa Vingunguti?
Hakuna mkenya ataishi Tz na aiponde ukiona hivyo huyo hajawahi fika Tz, si unaona KENPAULITE anaijua Tz vzr na huwezi kumsikia akiiponda, hata akiponda unaona kabisa co kutoka moyoni, ila kuna watanzania wamefika Kenya na hawataki kabisa kuisikia.Ni nini kijana wa Vingunguti?
Ile issue ya Kiondo ilifikaje? Hao mijitu walikwamilia hiyo jina hivyo tu?After sometime utasikia hizo phrases zilianzia kwao.
Slums zetu ndio dreamhouses zao 😂
Sasa mbona unashikwa na nyege kwa vitu za Kawaida? Kwani mtu kusema barabara iko na street lights ni big deal sana kwako! Inferiority complex itawaua mibongolaaHakuna mkenya ataishi Tz na aiponde ukiona hivyo huyo hajawahi fika Tz, si unaona KENPAULITE anaijua Tz vzr na huwezi kumsikia akiiponda, hata akiponda unaona kabisa co kutoka moyoni, ila kuna watanzania wamefika Kenya na hawataki kabisa kuisikia.
Unasema sijawahi piga picha na mkono wangu and at the same time unasema kuna pichangu niliweka huku. Assuming ilikuwa ni yangu, sasa niliipiga kutumia nini? Miguu?Hujawahi kupiga picha kwa mkono wako hata siku moja zaidi ya ile uliyojipiga mwenyewe, au nikuwekee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa mbona unashikwa na nyege kwa vitu za Kawaida? Kwani mtu kusema barabara iko na street lights ni big deal sana kwako! Inferiority complex itawaua mibongolaa
Bongolala, hizi vitu zote umetaja are summed up in something called Human Development Index. Last time I checked, tulikuwa tunabembea mbele yenu kama kawa. Next?!Tunasoma namba kwenye nn? Na sisi tuna njaa siku hizi? Je kuna corruption iliyopitiliza? Je raia wetu wanaishi kama mbwa kama huko kwenu? Au na sisi Watz tumekuwa watumwa ndani ya nchi yetu kama Kenya? Au 90% ya wakazi wa Dar wanaishi kwenye slums kama ka Nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]