Your police with dirty white uniforms are hungry, frustrated, and underpaid. Kuharass Wakenya ni njia yao ya kuongeza mapato.
Bila pesa ya Wakenya ya biashara na utalii, mngekuwa kama Burundi tu.
I know for a fact utalii wa Arusha na surroundings unategemea Wakenya at least 85%.
Mzee wa kuumizwa na ma slums ya Kenya upo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]So hizo Tecno wanauzia wakenya? [emoji23]
Si ndiyo hapa [emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]A Burundian experiencing the most developed City in East and central Africa., "...it must be a first world.." at 5:39 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
On ground, dunia ya leo utamdanganya dadaako [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Westlands..., this Burundi young man!
Sasa hapo unashangaa nini? Hapo kaitoa Kenya sio jirani yetu.Huyu waziri mkuu wenu huwa amechanganyikiwa sana. Sikiliza dakika 2:53 eti anasema Tanzania imepakana na nchi saba. Yaani Waziri mkuu mzima wa nchi yenu hajui kwamba Tanzania imepakana na nchi nane? [emoji28] [emoji1787]
Alizaliwa Tz ni mtz na alisoma Tz.Musevenis son Muhoozi Kaneiguraba attended primary school at Mount Kenya Academy Nyeri
Mnahitaji zaidi ugali kuliko huo upuuzi.Kali, zinanibamba mbaya. 😀 Sebastian Ogier anapeperusha hio Yaris noma.
Tunasoma namba kwenye nn? Na sisi tuna njaa siku hizi? Je kuna corruption iliyopitiliza? Je raia wetu wanaishi kama mbwa kama huko kwenu? Au na sisi Watz tumekuwa watumwa ndani ya nchi yetu kama Kenya? Au 90% ya wakazi wa Dar wanaishi kwenye slums kama ka Nairobi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi chuki zako zingekuwa catalyst ya kuwezesha Tanzanian kuipiku Kenya hapo tungekuwa na wasiwasi. Lakini kama bado mnasoma number yetu then keep hating man [emoji23]
Hujawahi kupiga picha kwa mkono wako hata siku moja zaidi ya ile uliyojipiga mwenyewe, au nikuwekee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Some of them even took photos of their hands just to prove a point. Very funny the extent to which some people take certain issues
KENPAULITE natumai uliwahi kufika hapa, hebu toa maoni yako bila biasness.
Dunia ya leo huwezi kuongopea mtu hata ukichanganya picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]reminds me so much of los [emoji848][emoji848]angelesView attachment 2269750
Motor vessel na motor tankerHivi kuna tofauti gani meli kuitwa MT na nyingine MV? Kama hapo juu !? Mwenye ufafanuzi please.
Kwa Tz hakuna biashara utafanya upate loss labda usiwe serious.I was not aware that SAA became bankrupt. They have lost 41 planes? The airline business is very difficult and yet our neighbours to the South are pouring hundreds of millions of dollars in buying new planes. It will all go burst for them.