The same has happened to me in Kenya with Tanzanian number plates at langata roundabout and embu thika highway junction.
Lengo la kuwafanyia hivyo ni kwamba hatuwataki huku mtatuletea wizi, rushwa, ujambazi na ukabila, be safe, stay home.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa nenda uwaambie recognized bodies like IMF, and WB wabadilishe waiweke Dar mbele ya ka Nairobi linapokuja suala la corruption [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
pole kwa maumivu. Hata hiyo barabara ya chini sioni magari mengi so the picture might have been taken on a weekend. Hii barabara inawaumiza roho sana 😂Huyu tembo juu yake kuna gari tatu tu, hii ni zaidi ya kituko 😂
Eti Langata Roundabout 🤣 🤣 🤣 Embu Thika Highway???🤣🤣🤣The same has happened to me in Kenya with Tanzanian number plates at langata roundabout and embu thika highway junction.
Hata mimi nimeona hiyo kitu,wamekua wadogo kwenye issue za utalii 😀
Westlands ni kubwa sana. Na hapo camera haijashika sides za Rhapta road on your way to Muthangari. Ibis Styles hote, Pride Inn Azure. Hizo sides are not in the picWestlands District is huge,,ni kama Upperhill +CBD combined 😍
Lang'ata roundabout iko wapi hii Nairobi? 😂 😂 😂Eti Langata Roundabout 🤣 🤣 🤣 Embu Thika Highway???🤣🤣🤣
Wewe ulikuja Kenya through your own fantasies.
Kwaivo Kenya watalii hawakuji, au unamaanisha nini?Nime note kitu humu,wakunya ni kana washakata tamaa kwenye utalii hawatuwezi,zamani ilikua ikija issue ya utalii walikua wanachangia na kujisifu sana,siku hizi wakiona post za utalii wanapita kimya kimya
Kwa sasa ni kweli ila ngojeni tukipata rais mwenye akili timamu 2025 ndiyo tutakuja kwenye hii vita ya kenya vs tanzaniaHuyo tumemnyonga. kama wenzake walio mtangulia humu, kwa sasa wanaweka porojo tunaumbua na facts., Tanzania hakuna cha maana for the debate, wameishiwa, wamebakia kutafuta vitu vilivyo pitwa na wakati kwa mtandao kuponda, but tunawajibu na reality kwa sasa.., the boy must be deluded.,
Side ya juu pia haija kua captured poa, area za Spring Valley bordering loresho and lower kabete.Westlands ni kubwa sana. Na hapo camera haijashika sides za Rhapta road on your way to Muthangari. Ibis Styles hote, Pride Inn Azure. Hizo sides are not in the pic
Huyo jamaa uwa simjibu uwa anatumia lugha mbaya sana plus matusiKumbe hupendi matusi ehee!? Ila ukimtukana mtu mwingine asiyekuwepo hapa kwako sawa eti? Basi sawa nimekuelewa usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio.
Pia me sijui, Nairobi ikona roundabouts mingi sana na hakuna hata moja inaitwa Langata Roundabout.🤣 🤣 🤣Lang'ata roundabout iko wapi hii Nairobi? 😂 😂 😂
Huyu ndio kama yule wa jana who was downloading pictures kisha anadai eti emezipiga mwenyewe akiwa Nairobi 😂Pia me sijui, Nairobi ikona roundabouts mingi sana na hakuna hata moja inaitwa Langata Roundabout.🤣 🤣 🤣
Wanatapa tapa kama samaki nchi kavu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakenya wanatumia hizo lkn wapii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijawai ona mtu mjinga kama huyo, anapost picha za pot holes eti ni uhuru park. 🤣 🤣 🤣Huyu ndio kama yule wa jana who was downloading pictures kisha anadai eti emezipiga mwenyewe akiwa Nairobi 😂