Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wabongo hua munajifanya vile Dar is an important City in the region. Ebu tuonyesheni Tecno Camon 19 Launch event in Dar is a slum. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

Hii hapa ya Nairobi

Image

Image

Image
Image

Image

Image
Hatutumii techno kwa wingi kwa kwenu kenyaa
 
How can Kenya or Nigeria foster stability among its neighbors when both of these countries are regional hubs of instability?

Nairobi — What influence and clout did the chairman of the African Union, Tanzanian President Jakaya Mrisho Kikwete, bring to bear on the Kenyan mediation process?

We saved their stupid asses from collapse.
 
Duh!

Huu uzi ulishatazamwa na watu milioni 18?

Mji bila maji karibu yake, hata ufanye nini, mandhari yake ni shida tupu!

Nairobi pamoja na majigambo mengi na kuwa mji wa wageni, hasa waingereza na taasisi mbalimbali za kimataifa, lakini siku zote utaonekana kama kijiji fulani katikati ya mbuga kavu.
 
The same has happened to me in Kenya with Tanzanian number plates at langata roundabout and embu thika highway junction.
[emoji23][emoji23][emoji23] nigga you've never set foot outside dar-is-a-slum. Embu-thika highway junction ndo wapi? Wacha uongo bana
 
Pia me sijui, Nairobi ikona roundabouts mingi sana na hakuna hata moja inaitwa Langata Roundabout.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
That negro is obviously lying. Wadanganyika wanatamani sana kuja Nairobi, but hawana pesa ni maskini
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nigga you've never set foot outside dar-is-a-slum. Embu-thika highway junction ndo wapi? Wacha uongo bana
Kwani wewe hujui makutano au kwasababu nimesema kwa kizungu junction? Inaelekea nyie hamjui kwenu vizuri na mkitembea huwa mnabebwa kwa Hiace tuu na kufikishwa mnapoenda kama mzigo.
 
Pia me sijui, Nairobi ikona roundabouts mingi sana na hakuna hata moja inaitwa Langata Roundabout.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Wewe ni mshamba wa mji wenu kwani Langata road inaanzia wapi kama sio hapo kwenye roundabout mombasa road. Na usitegemee mgeni akupe mpaka vijina vya hivyo vijiwe vyenu kama unavyolazimisha hapa.

Halafu ndio Nairobi iko na roundabout nyingi sana njia zote za kuingia mjini ni roundabout.
 
Huyu ndio kama yule wa jana who was downloading pictures kisha anadai eti emezipiga mwenyewe akiwa Nairobi [emoji23]
Naipori naijua vizuri sana huwa nikija hapo nakaa kwa sehemu tatu tuu kama sio Sarova Stanley basi ni Panari au the Bomas.
 
better ungesema nyayo stadium badala ya story miiiingi....
Hiyo ni wewe kwakuwa wewe ni mwenyeji ila usitegemee mimi ambaye ni mpitaji nijuwe majina ya vijiwe vyenu vyote chamsingi ni location kueleweka sio niite unavyotaka wewe.
 
That negro is obviously lying. Wadanganyika wanatamani sana kuja Nairobi, but hawana pesa ni maskini
Cheki ulivyokuwa na colonial mentality yaani unamuita muafrika mwenzako negro hujui hiyo ni discrimination au wewe uko class moja na wazungu au umekuwa mnyapara wa mzungu? Alleviate mental slavery brother amasivyo utakuwa mtumwa tuu maisha yako yote.
 
Send a single photo you've taken in Kenya uache ujinga, unyapara na uongo.
 
ndio maana waliumia sana 😂😂😂

Sijawahi kuona nchi imejaa wajinga kama Tz , kila utoto wanaambiwa wanafuatafuata , hakuna mmasai wa narok Ako na ngombe Tz infact wao ndio wanaleta narok areas around Eminangio Forests towards Loita Plains. Huyu Ledama yeye anajishugulisha na dairy cows si izo takataka za nyama(sahiwal,borana etc)
 
Wabongo hua munajifanya vile Dar is an important City in the region. Ebu tuonyesheni Tecno Camon 19 Launch event in Dar is a slum. 🤣 🤣 🤣

Hii hapa ya Nairobi

Image

Image

Image
Image

Image

Image
Huku ni simu za bei mbaya ndio huwa launched, 10 years ago

Kwa wale ambao wanadhani vita ni mchezo, upekuzi wangu wa hali ya juu kwenye channels za Russian speakers kimeniwezesha kupata hii video. Video ni hatari kweli. Inaonyesha majeshi ya Russia yakipigwa makombora (yaani artillery fire) na majeshi ya Ukraine. Aisee sina la kusema. Wanajeshi wa Russia wanaonekana wanapitia muda mgumu sana.

Cc ichoboy01

Hahahaha, Russia are advancing lad! Kupigwa artillery na kufa hiyo ni kawaida Sana. But!
 
Sijawahi kuona nchi imejaa wajinga kama Tz , kila utoto wanaambiwa wanafuatafuata , hakuna mmasai wa narok Ako na ngombe Tz infact wao ndio wanaleta narok areas around Eminangio Forests towards Loita Plains. Huyu Ledama yeye anajishugulisha na dairy cows si izo takataka za nyama(sahiwal,borana etc)
Very stupid lot, its clear propaganda wanadhani everyhin is all about tz na hakuna green grass kenya, typical idiots
 
Back
Top Bottom