Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thats why i bought a Tz car, manze kenyan plates in tanzania is torture weeh, my tz car i use it sometimes in kenya na si sumbuliwangi sana
Why you don't stop coming to Tanzania with all those tortures you go through?, The reason why we torture you is to discourage your, we don't need you down here

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Disgusting police. Mimi naamini chenye nilishuhudia.
Especially na hao wanaovaa uniform za white lakini chafu.

And the harassment is targeted at Kenyans. Not locals. Kwa msururu wetu, only the Kenyan cars got stopped every few kilometers for targeted harassment.
Na hongo wanataka kwa shilingi ya Kenya, sio hio yenu ya madafu.
Lengo la kuwafanyia hivyo ni kwamba hatuwataki huku mtatuletea wizi, rushwa, ujambazi na ukabila, be safe, stay home.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Almost billion 50 zinajenga University mpya ya usafiri wa anga NIT

Pamoja na hivyo bado the existing college inazidi kuboreshwa

wizara_elimutanzania_1655879814119_4.jpg
wizara_elimutanzania_1655879814118_0.jpg
wizara_elimutanzania_1655879814119_3.jpg
wizara_elimutanzania_1655879814118_2.jpg
wizara_elimutanzania_1655879814120_6.jpg
wizara_elimutanzania_1655879814119_5.jpg
wizara_elimutanzania_1655879814121_7.jpg
wizara_elimutanzania_1655879814122_9.jpg
 
Lengo la kuwafanyia hivyo ni kwamba hatuwataki huku mtatuletea wizi, rushwa, ujambazi na ukabila, be safe, stay home.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Watu hamtakiwi na mnaletewa kila aina ya karaha lkn bado mnakuja tu, basi mvumilie mateso mnayoyapata na niwaambie tu Wakunya ni kwamba Watz wengi wameshaona wakunya ni washenzi na huu mkasa wa maasai ndio umezidi kuharibu so kifuatacho ni mateso zaidi kwa Wakunya ndani ya Tz.
 
Ukiwaona hawatakiwi Tanzania na bado wanangangana kuja ujue kwao kumeoza hakuna mfano.
Ni kama wanakuwa safe wakiwa Tanzania kuliko wakiwa kwao failed state.

Ndio maana wanauziwa kilo mbili ya unga kwa buku nne na kitu.
 
Nimepitia maendeleo ya Egypt 🤣🤣 yo EAST AFRICANS hatuna kitu tunafanya asee (bado sana), kuwakaribia hawa jamaa, kama hatutajenga strategic projects we will never reach them levels .. hao Nigeria 🤣🤣🤣 the Africa's giant ecenomy 🤣🤣🤣. They ar just a joke, ni aibu manzee.. ngoja nikuwekee miradi ya kimkajati under construction in Egypt uone vile tunachekeshana tu hapa JF na jirani tumalize siku basi
 
Watu hamtakiwi na mnaletewa kila aina ya karaha lkn bado mnakuja tu, basi mvumilie mateso mnayoyapata na niwaambie tu Wakunya ni kwamba Watz wengi wameshaona wakunya ni washenzi na huu mkasa wa maasai ndio umezidi kuharibu so kifuatacho ni mateso zaidi kwa Wakunya ndani ya Tz.
cc Kennedy 0000

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom