Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Asante sana mheshimiwa Ole Shangai, mbunge wa Ngorongoro kwa kuzungumza ukweli dhidi ya serikali kandamizi ya CCM.
Cc Geza Ulole
Cc Geza Ulole
Waache kujificha nyuma ya wakenya, wauzie mwarabu shamba pole poleAsante sana mheshimiwa Ole Shangai, mbunge wa Ngorongoro kwa kuzungumza ukweli dhidi ya serikali kandamizi ya CCM.
Cc Geza Ulole
Kwa wale ambao wanadhani vita ni mchezo, upekuzi wangu wa hali ya juu kwenye channels za Russian speakers kimeniwezesha kupata hii video. Video ni hatari kweli. Inaonyesha majeshi ya Russia yakipigwa makombora (yaani artillery fire) na majeshi ya Ukraine. Aisee sina la kusema. Wanajeshi wa Russia wanaonekana wanapitia muda mgumu sana.
Cc ichoboy01
Yani nitumie google map kuijua Kenya ili iweje kwa uzuri gani wa Kenya mpaka nitumie google map? Hapo Nairobi napajua pote hunipotezi na i have gone as afar as eldoret, naivasha, nakuru nyaruhuru, kibaki homeland, kiganjo, nyeri, nanyuki, meru, embu na Isiolo airport yenu ya miraa etc.Wacha kutumia Google maps kujifariji. Tafuta pesa uje kutembea kenya
Mimi sio mshamba wa picha acha ujinga wewe. Najuaje watu huko nyeri wanakaa kwenye grain silos kama sijafika huko.Send a single photo you've taken in Kenya uache ujinga, unyapara na uongo.
In africa na duniani nimetembea nchi nyingi sana na SA nimekuwa nikienda kila mara kama chooni kenya imekuwa nchi ya mwishomwisho ku visit mpaka siku moja nafika airport jamaa wa immigration aka scan passport yangu na kuniuliza wewe huwa hutembelei huku sana eh. Lakini nikajua mentality yake kichwani maana alikuwa anashangaa iweje niwe from east africa nisitembelee kenya maana kwa mtazamo wake nilijua alilishwa matango pori ya propaganda kuwa kenya ni bora kuliko nchi nyingine za EA na kwamba majirani watapenda kuja kenya little did he know kuwa nilikuja kwa lazima tuu sio hiari yangu.Wacha kutumia Google maps kujifariji. Tafuta pesa uje kutembea kenya
Techno gani wakati wengine wenu hapa wanatumia hadi itel 😂. Angalia posts za Geza UloleHatutumii techno kwa wingi kwa kwenu kenyaa
It's called Nyayo Stadium roundaboutI meant roundabout on mombasa road inapoanzia langata road.
Sawa mimi sio mwenyeji huko ni mpita njia tuu.It's called Nyayo Stadium roundabout
Hapo umedanganya. Njia kuu za kuongia mjini actually hazina roundabouts nyingi vile, zile za mitaano ndio ziko na roundabouts kibao. Mfano, waiyaki way iko na roundabout moja tu pale Westlands ambayo pia ilifungwa like four years ago. Mombasa road has only one at Nyayo stadium, Jogoo road has two (the one towards Eastleigh and another one ya kuingia industrial area). Thika road haina roundabout.Wewe ni mshamba wa mji wenu kwani Langata road inaanzia wapi kama sio hapo kwenye roundabout mombasa road. Na usitegemee mgeni akupe mpaka vijina vya hivyo vijiwe vyenu kama unavyolazimisha hapa.
Halafu ndio Nairobi iko na roundabout nyingi sana njia zote za kuingia mjini ni roundabout.
Wewe mkuria? Hilo neno mura wanapenda sana kuitumia wakuriaNi kawaida ya vita mura. Vita ni vita mura, hakuna vita ndogo.
Hao kina Geza Ulole ni wapumbavu ccm ya sa100 inafanya uhuni kwa watz wao wanashangilia ...ukweli unajulikana sasa ..mama sa100 kampa mtoto wa muhuni kikwete kuwa kwenye hiyo wizara tutegemee dhuluma kubwa nchiniAsante sana mheshimiwa Ole Shangai, mbunge wa Ngorongoro kwa kuzungumza ukweli dhidi ya serikali kandamizi ya CCM.
Cc Geza Ulole
Haaaa ccm ni mafii[emoji90][emoji90][emoji90][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waache kujificha nyuma ya wakenya, wauzie mwarabu shamba pole pole