Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ka Nairobi ni kadogo kweli kweli, yn vipicha vyote vya upande upande vinavyowasumbua watz vichwa panzi vinatokea hapa kwenye haka kaeneo kadogo, yn Watz vichwa panzi wanaoropoka ropoka humu wanazinguliwa na vipicha vya kujirudia rudia kutokea hapa. Kuna mtz kichwa panzi mmoja karopoka huko juu eti ka Nairobi kamejengwa eneo kubwa kuliko Dar, yn karopoka mpk wakenya wenyewe wameogopa kumkot.

Naomba Watz vichwa panzi huu uzi umetoka mbali, cc humu tunaokesha kwenye huu uzi ndiyo tunaijua hii miji nje ndani, mfano mm sijafika ka Nairobi na sina mpango wa kufika hivi karibuni ila huniongopei kabisa kuhusu haka kamji, nakajua nje ndani, sasa nyie Watz vichwa panzi hamshindi humu kwenye huu uzi tafadhali sn msipende kuropoka ropoka vitu usivyovijua, wewe jukwaa lako ni MMU basi baki huko tuachie huu uzi mana na cc hatuchangii huko kwenye nyuzi zenu mana hatujui kinachoendelea, mambo yako ya siasa maji taka nenda ukayamalize kwenye nyuzi zenu huko msije humu mana mnaropoka ropoka vitu msivyovijua.View attachment 2268164
Kumbe uliona alichokiandika
 
Sasa unanitorture aje na sina kenyan plate, you dont stop living because people hate you, there are better things to do
Kwanini mnalazimisha kuja Tanzania?, sehemu ambayo unahisi kwamba wakigundua wewe ni Mkenya lazima wakusumbue unapaswa kuachana nayo usiende huko.

Hii inanikumbusha malalamiko ya waafrika kubaguliwa na kunyanyaswa huko Europe, lakini bado wapo tayari hata kupoteza maisha Yao wakijaribu kuvuka bahari kwenda katika nchi ambazo zinawanyanyasa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nimepitia maendeleo ya Egypt yo EAST AFRICANS hatuna kitu tunafanya asee (bado sana), kuwakaribia hawa jamaa, kama hatutajenga strategic projects we will never reach them levels .. hao Nigeria the Africa's giant ecenomy . They ar just a joke, ni aibu manzee.. ngoja nikuwekee miradi ya kimkajati under construction in Egypt uone vile tunachekeshana tu hapa JF na jirani tumalize siku basi
Kenya wao kitu muhimu ni malls tu


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba Dar ina Oil refinery

Kwamba Dar ina Oil jetty

Kwamba Dar ina Deep Sea Port

Kwamba Dar Ina Clover leaf interchange

Kwamba Dar ina Shipyard

Kwamba Dar ina real estate

Kwamba Dar ina Tourism/ nightlife

Kwamba Dar ina operational Sgr

Hebu jibu hizi, kabla niendelee kukupiga nyundo
Wewe ni wa kupuuzwa hujui una post nini hapa.
 
Disgusting police. Mimi naamini chenye nilishuhudia.
Especially na hao wanaovaa uniform za white lakini chafu.

And the harassment is targeted at Kenyans. Not locals. Kwa msururu wetu, only the Kenyan cars got stopped every few kilometers for targeted harassment.
Na hongo wanataka kwa shilingi ya Kenya, sio hio yenu ya madafu.
The same has happened to me in Kenya with Tanzanian number plates at langata roundabout and embu thika highway junction.
 
Yaani uwe founder wa lugha ambayo inakusumbua . Sifa za kijinga wakunya
nairobians stereotype bongolalas kaa washamba sana.. bongo nyinyi ni washamba.! nairobi urbanlife is say 30yrs ahead of u pipo. hiyo nayo lazma kieleweke.!

Matatus_Blacks (1).jpg

 
Mchawi wa Kikunya na ramli chonganishi baada ya Project Loliondo kushindwa! Tuwapende kwa lipi zuri mlilofanya? kujaribu kutuchonganisha na Wamasai ndugu zetu kwa kuwalaghai ndugu zao ni Masai wa Kikunya?
Na mpaka kwenda kutuchongea huko nje kisa wanatafuta sifa ilimradi kuharibu image ya Taifa letu. Hawa watu wanatafuta kuharibu industry ya Utalii wetu baada ya kuona watalii wanakuja kwa wingi. Tuwe nao makini sana si wema kwetu.
 
Kwanini mnalazimisha kuja Tanzania?, sehemu ambayo unahisi kwamba wakigundua wewe ni Mkenya lazima wakusumbue unapaswa kuachana nayo usiende huko.

Hii inanikumbusha malalamisha ya waafrika kubaguliwa na kunyanyaswa huko Europe, lakini bado wapo tayari hata kupoteza maisha Yao wakijaribu kuvuka bahari kwenda katika nchi ambazo zinawanyanyasa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe kaa comfort zone peke yako, wacha tubaguliwe ni hali ya maisha tutaevolve tu
 
watanzania kwanza wa hapa jf hutamani sana kuja Kenya. Jealousy is the first sign of envy.
Kiukweli mimi ninataka kuiona hiyo Kibera, watu wanavyoishi, hali zao kwa ujumla, kula yao, maji safi yapoje, wanalala vipi katika hayo mazingira, zile nyumba za bati zipo kweli Nairobi? Nikijiridhisha nipitie Karen nitoe pole zangu nirudi zangu Bongo kuendelea na maisha kama kawa. Msimu wa mavuno ukiisha tu nakuja kujionea maajabu ya slums za kunyaland
 
Back
Top Bottom