Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Not Mwanza, Dar's rich estates haziwezani na Nyali, in aesthetics na size, the lady didn't bring the whole Nyali as I know it, kuna sehemu mingi amewacha, u can't just walk anyhow, and photography is restricted, Afrikan Traveller alinyang'anywa camera, he didn't know Mombasa sio kama Nai, security hapana mchezo coasto., places mob u can't fly drone.,
Wacha kujamba wewe usiwe na tabia za kuitaja DAR kwenye sentence Moja na huo uchafu unaoitwa mombasa coz Masaki + osterbey sina ukubwa sawa na mji mzima wa mombasa. Hiyo mitaa ya Mombasa sijui nyali level yake kapripoint Mwanza 👇
Screenshot_20211201-114109_1.jpg
 
Mkuu Kenya ni dampo mkuu, huoni tukiwabana kwenye ma slums wanakosa la kusema kwasababu tunakuwa tumepiga kwenye mshono. Kenya nzima hakuna mji ukakosa slums, nyumba moja ya tajiri Kenya juwa kwamba kuna slums 1000 zimezunguka hiyo nyumba.
Umeandika kwa maumivu mjukuu 😂 😂 😂 😂, ukweli unakutesa hadi basi wishful thinker😂😂😂😂, Sasa nataka leo udhibitishe, tuhesabu nyumba standard vs slumy housing na tulinganishe na Tanzania.., kama Dar ni shanty 90% ina maana kwa kila nyumba moja ya tajiri, utapata nyumba 100,000 za kifukara.., these👇👇👇 types., usijitoe ufahamu wazi wazi ama kujitia hamnazo.., hizi ndio standards.,
1655800961121.png

1655801024992.png

1655801097640.png

Hapa Kenya., matajiri ndio wamezunguka slums kwa wingi, in tanzania Mifukara imezunguka matajiri na CBD kwa upana., iko wazi sana kwa muonekano ata ukitumia google earth kutazama.,

Kibera hapo 👇 kati kati, imezungukwa na standard estates kwa upana na urefu., so The best 007 ., kauli yako potovu unatoa wapi?😂😂😂
1655801242170.png

Yaani kibera imezungukwa na utajiri inawapea matumaini ya kujituma, mtu akifaulu anaondoka na kujoin the rest doing well., Dar ni hopelessness left right and centre..,
1655801313397.png
 
Wacha kujamba wewe usiwe na tabia za kuitaja DAR kwenye sentence Moja na huo uchafu unaoitwa mombasa coz Masaki + osterbey sina ukubwa sawa na mji mzima wa mombasa. Hiyo mitaa ya Mombasa sijui nyali level yake kapripoint Mwanza 👇View attachment 2267420
Hizi ata can't level what Eldoret has, 5th largest town., so tuondolee your insecurities na blind patriotism, unalazimisha kitu hakipo kikue, haiwezekani mjukuu, tuliza kende na uzoee ukweli, ni uchungu najua😂 😂 😂
 
Hizi ata can't level what Eldoret has, 5th largest town., so tuondolee your insecurities na blind patriotism, unalazimisha kitu hakipo kikue, haiwezekani mjukuu, tuliza kende na uzoee ukweli, ni uchungu najua😂 😂 😂
Unanifurahishaga mno 🤣🤣, kwanini unakua na kende za kulazimisha ku level Dar na uchafu unaoitwa mombasa.?
 
Current hazina towers the building with the crane View attachment 2267441
Huyo tumemnyonga. kama wenzake walio mtangulia humu, kwa sasa wanaweka porojo tunaumbua na facts., Tanzania hakuna cha maana for the debate, wameishiwa, wamebakia kutafuta vitu vilivyo pitwa na wakati kwa mtandao kuponda, but tunawajibu na reality kwa sasa.., the boy must be deluded.,
 
Unanifurahishaga mno 🤣🤣, kwanini unakua na kende za kulazimisha ku level Dar na uchafu unaoitwa mombasa.?
Hakuna cha kulevel ama nini, ukweli uko vile., mbona tuandike kwa mate na wino upo., level ya Mombasa ni Dar kwa mengi na mengine ata zaidi., wewe kalilie kwa choo, haubadilishi ukweli., 😂 😂 😂 😂
 
Umeandika kwa maumivu mjukuu 😂 😂 😂 😂, ukweli unakutesa hadi basi wishful thinker😂😂😂😂, Sasa nataka leo udhibitishe, tuhesabu nyumba standard vs slumy housing na tulinganishe na Tanzania.., kama Dar ni shanty 90% ina maana kwa kila nyumba moja ya tajiri, utapata nyumba 100,000 za kifukara.., these👇👇👇 types., usijitoe ufahamu wazi wazi ama kujitia hamnazo.., hizi ndio standards.,
View attachment 2267411
View attachment 2267414
View attachment 2267415
Hapa Kenya., matajiri ndio wamezunguka slums kwa wingi, in tanzania Mifukara imezunguka matajiri na CBD kwa upana., iko wazi sana kwa muonekano ata ukitumia google earth kutazama.,

Kibera kati kati, imezungukwa na standard estates kwa upana na urefu., so The best 007 ., kauli yako potovu unatoa wapi?😂😂😂
View attachment 2267418
Yaani kibera imezungukwa na utajiri inawapea matumaini ya kujituma, mtu akifaulu anaondoka na kujoin the rest doing well., Dar ni hopelessness left right and centre..,
View attachment 2267419
Eti bongo maskini wa slums ndio wamezunguka matajiri kila mahali. 🤣 🤣 🤣 🤣 Umewaambia ukweli live live.
 
Nipo njiani now natoka Morogoro naingia mjini DSM.. Ila abood ni gari kali buana kitu ni AC tu hivi vitu kenya ni story tu 👇
IMG_20220621_121137_492.jpg
kuna mpuuzi mmoja aliwahi kusema Ati hakuna route ya Dar morogoro tu kwa basi eti kwasababu ni karibu sana 🤣🤣🤣 Kenyans bhana
 

Attachments

  • IMG_20220621_121853_831.jpg
    IMG_20220621_121853_831.jpg
    378.2 KB · Views: 11
Umeongea vizuri kaka, ngoja niongezee na mimi kidogo.

Tukiendelea na huu utaratibu wa watu wajenge nyumba hatutafika, mashirika ya serikali kama watumishi housing, nhc jeshi, tba nk yana uwezo wa kujenga nyumba ila saa nyingine inakuwa ngumu kupata wateja sababu watu wanajijengea.

Ili kuondoa makazi holela serikali izuie kwa sasa watu kujenga then iweze she makampuni kama nhc nk yajenge nyumba kwa Kuanzia serikali ikubali hasara au nusu hasara, kwa mfano itoe bilioni 100 kila mwaka kwa tba, nhc nk wajenge nyumba kwa sharti la kuvunja sehemu zilizo hovyo kama wslivyofanya magomeni kisha wananchi walioathirika wa napata nyumba zinazobaki wanauza au kupangisha.
Tujenge maghorofa, ujenzi wa nyumba za chini sio mzuri unafanya miji inakuwa mikubwa na Hatuwezi kupeleka barabara maji na umeme.
Mfano ukijenga maghorofa 10 ya floor 10 kila moja na kila floor inachukua familia 2 maana yake jengo moja litakuwa na familia 20,majengo 10 familia 200.
Ukijenga nyumba za chini 200 utachukua eneo kubwa sana na utahitaji mitandao ya maji barabara na umeme nk.

Watu wansobomolewa nyumba kupisha miradi wasilipwe fidia ila serikali ijengwe nyumba wahamishiwe kwenye hizo nyumba, fidia ilipwe tu kama kilichohusika kwenye mradi sio nyumba ya kuishi.

Sheria za miji ziheshimiwe, si kila nyumba ilio pembeni ya barabara basi iwe na frame(s)
Kuwe na maeneo maalumu ya biashara.

Nyumba kama za wamasai handeni zinatosha kwa watu wa hali ya chini, zikijengwa kama zile 1000 kila mwaka kureplace makazi holela nazo pia zitasaidia.

Haya ni mawazo yangu, hii sehemu ya makazi Magu hskuigusa, ni Wakati Wa mama kujichukulia ujiko eneo hili.
Vizuri kabisa. Na pia kila Kata (Ward) kuwe na Afisa ardhi ili kuratibu shughuli zote za matumizi sahihi ya ardhi kuanzia ngazi ya Mtaa, Kitongoji, Kijiji na Kata.Iwepo sheria hakuna kujenga sehemu yoyote bila viongozi hawa kutoa kibali.
 
Nipo njiani now natoka Morogoro naingia mjini DSM.. Ila abood ni gari kali buana kitu ni AC tu hivi vitu kenya ni story tu 👇View attachment 2267452kuna mpuuzi mmoja aliwahi kusema Ati hakuna route ya Dar morogoro tu kwa basi eti kwasababu ni karibu sana 🤣🤣🤣 Kenyans bhana
another sorry neck feeling the pain of carrying an empty head...wacha kutumia akili kama kofia ya kuziba jua nani
 
Unanifurahishaga mno , kwanini unakua na kende za kulazimisha ku level Dar na uchafu unaoitwa mombasa.?
Wala usipate naye tabu, yeye mwenyewe anajua fika kwamba 99% ya majengo ya Mombasa ni ya mwaka 1910 kushuka chini, majengo mengi ya Mombasa ni ya mwaka 1800s. Bora ya ka Nairobi kamejaa slums kuliko huu mji mzee uliochoka na wenye majengo ya kizamani yanayofuga majini na viumbe wa ajabu.
 
Back
Top Bottom