The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ur welcome my friend.Sawa ile this time nakuja na mwanaume si warembo, utaskia tu inbox nikibook ticket
Ur welcome my friend.Sawa ile this time nakuja na mwanaume si warembo, utaskia tu inbox nikibook ticket


Kwani Konza City inajengwa ili iwe capital city ya Kenya ama hiyo kiingereza ndio imekupiga chenga kama kawa?Mbona Konza haipo? Jamaa wababaishaji sana wanakuambia wanajenga mji mpya mpaka leo haueleweki, mji wanaujenga kwa miaka 20 sasa lkn majengo mawili, ili mradi tu nao wawekwe kwenye kundi la nchi zinazojenga miji mipya.
Waweke watoe wapi? Si ni keleke tu na ubishi za kijinga ndio zao
😂😂😂 Kamwe Kisumu haitawezana na Arusha, wacha kunipotezea muda, we endelea kujifurahisha, byeThis battle tunataka kupeleka pole pole step by step. So far the scores is Kisumu 1, Arusha 0.
Next ni sporting facilities. Can any Tanzanian show us Arusha stadium?
View attachment 2263936
Sina haja na excuse yako, kafie mbele.Kwani Konza City inajengwa ili iwe capital city ya Kenya ama hiyo kiingereza ndio imekupiga chenga kama kawa?
Hebu post wewe pazuri unapopajua mwanzaWeka za Mwanza tuone.., hauna mapicha ya Mwanza kujibu Kisumu? lishamba limechoka kweli 😂 😂 😂 😂 😂 😂 matako ya Mwanza tunaifahamu na hatuweki, tunataka sura ya Mwanza, tunajua pazuri ni pachache sana kuliko Kisumu.., the rest ni ushumba umetapakaa😂😂😂😂
Hiyo ndio Kama South C au Buru Buru yao sasa 😂 😂 😂Middle class suburbs in Dar is a slum. Hakuna hata 1 inch of paved road. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
![]()









Kweli kabisa mkuu! Kulipa kodi siyo kitu kibaya lakini ziwe kwa kiasi zionyeshe zimefanya nini, tuone impact kwenye uchumi wa nchi na siyo kupotelea kusikojulikana.Double taxation, ni kama ukitumia hela kwenye simu ( m-pesa , tigo pesa) na mitandao mingine wanakata kwa mtumaji na mtoaji huu ni kama unyonyaji pia ina discourage wafanyabishara wanaowauzia vitu watu wa mikoani . Kimsingi mh. waziri kakosa ubunifu ndio maana kila mara bundle la internet linapanda bei bila sababu ya msingi. Double taxation inasababisha watu waone kulipa kodi ni unyonyaji
Updates: The Masais from Ngorongoro have arrived safely at their new village in Msomera!
Maandamano ya Wamasai wa Tanzania dhidi ya uzandiki wa Wakunya, Ubalozi wa Kunyaland DSM
CC: Tony254










Hiyo ni tamaduni ya Kisumu. In fact, the word boda boda ilianzia hapo Kisumu kabla ya kuenea maeneo mengine hadi sasa imefikia ughaibuni.View attachment 2263933View attachment 2263935unamaanisha kisumu hii ambayo mpaka leo watu wanakodi usafiri wa baiskeli kama boda boda au kisumu ipi hiyo?
Umeishiwa wala si siri. Tangu lini Kisumu imekuwa eneo la Wamaasai? Maasais are found in Narok and Kajiado counties. Kisumu is predominantly Luos na tena huko hakuna baa la njaa. Umesikia bongolala?Kisumu hali ya chakula ni hovyo na huwezi kuongelea maendeleo bila kuangalia food affordability has to be very cheap
View attachment 2263382View attachment 2263383





Didn't I bring you google earth images of Thika? Ama ulishakunywa konyagi zako ukalewa?Mananiletea pictures za a millennium ago 😅😅😅😅 leteni mambo ya Google earth 😂😂😂 mkitoka Nairobi mnaiogopa Google earth kama kisonono