Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Wewe wacha upumbavu lamu Iko na Karne nzima kufika ilipo Zanzibar kwasasa, nikienda kuichimbua Zanzibar I'm sure mtaleta mpaka estate za Nairobi hapa to compete..Asante kwa kufananisha lamu na small estate in zanzibar. Nitaichukua kama compliment.

