Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
WahWaaaaaa bongo shida tupu hadi kwa jelaNchi maskini sana hii.



Ccm ni ibilisi
WahWaaaaaa bongo shida tupu hadi kwa jelaNchi maskini sana hii.



ile mitaro hua wanajenga wakiziita dam ziko wapi na zinasaidia nn 👇👇👇
SGR ya umeme imefika? naona umeni quote.., refer back when we did a comparison bana.., ngoja SGR na miaka 25 mbele to compare notes na Kenya, kwa sasa wacha sisi tujienjoy tu mnapo lia lia humu 😂 😂 😂 😂 😂 😂Staki maneno maneno twende ground
Kila mji wa Tz iko na sprawling uswazi😂😂😂😂😂😂Wacha leo niwapeleke zanzibar wanayo ishindanisha na Lamu. View attachment 2263798View attachment 2263791View attachment 2263792View attachment 2263796
Dar lazima ijifunze.Meanwhile somewhere in Mombasa..,
View attachment 2263801
View attachment 2263802
View attachment 2263803
View attachment 2263804
Double taxation, ni kama ukitumia hela kwenye simu ( m-pesa , tigo pesa) na mitandao mingine wanakata kwa mtumaji na mtoaji huu ni kama unyonyaji pia ina discourage wafanyabishara wanaowauzia vitu watu wa mikoani . Kimsingi mh. waziri kakosa ubunifu ndio maana kila mara bundle la internet linapanda bei bila sababu ya msingi. Double taxation inasababisha watu waone kulipa kodi ni unyonyajiHuu ni unyanyasaji sasa kwa wananchi kila kitu kiwe kulipia lipia tu,unafuu uko wapi kwa mwananchi kumpunguzia makali ya maisha?
Juzi nimepita hapo airport nataka kukuachia mrembo mmoja wa 254 sikukuonaKumbe ndiyo maana hata michango yako co kama wakunya wengine wasio na exposure, kumbe ww ukweli unaujua.


Ulipita time mbaya. Ungepita kitu saa Moja usiku hivi ungemuons hapo akibeba rungu na firimbi kwa shingo.Juzi nimepita hapo airport nataka kukuachia mrembo mmoja wa 254 sikukuona![]()
Compare and contrast..,
Banda la kuku.., looks like a shopping centre, yaani maduka in one street😂 😂 😂 😂 😂 View attachment 2263805
View attachment 2263807
JKIA
View attachment 2263806
View attachment 2263808
Hadi kilimani zoteMilimani zote za Kenya hua zimeomoka.

Ulipita time mbaya. Ungepita kitu saa Moja usiku hivi ungemuons hapo akibeba rungu na firimbi kwa shingo.


next time naingia na last flight ya kq basiVipi unaogopa.? Kwenda ground.? ARUSHA vs kipoison ,uone kama hujatoka damu humu, mimi nimeshajipanga au nikusaidie kupost kipoison.?SGR ya umeme imefika? naona umeni quote.., refer back when we did a comparison bana.., ngoja SGR na miaka 25 mbele to compare notes na Kenya, kwa sasa wacha sisi tujienjoy tu mnapo lia lia humu 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Anza kuipost hiyo Arusha yako uone venye utakuwa embarrassed 😂😂Vipi unaogopa.? Kwenda ground.? ARUSHA vs kipoison ,uone kama hujatoka damu humu, mimi nimeshajipanga au nikusaidie kupost kipoison.?
Utaweza.? 👇 Chuga beib 👇Anza kuipost hiyo Arusha yako uone venye utakuwa embarrassed 😂😂