babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Mbona Konza haipo? Jamaa wababaishaji sana wanakuambia wanajenga mji mpya mpaka leo haueleweki, mji wanaujenga kwa miaka 20 sasa lkn majengo mawili, ili mradi tu nao wawekwe kwenye kundi la nchi zinazojenga miji mipya.
Konza ndo mboga gani!
