Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rankings za FIFA haizingatii local league performance bongolala. If that's the case, England would be ranked number one in the world but it isn't. Rankings only consider performance ya national team. Umesikia kilaza?
Asante kwa kukubali kwamba tunawaacha mbali mno kwenye ligi.
 
Haitawezana na Kisumu kivipi wakati picha za Kisumu tukiweka humu hamuamini macho yenu mnashinda mkizikana!? 😂 😂

Mimi ninachokijua ni kwamba kitu Arusha inashindia Kisumu ni mahoteli tu, and this is by virtue of it being EAC's capital. Besides that hakuna kitu kingine.
Heb twende tulinganishe Arusha CBD with that little village center of the so called Kisumu City.. here is Arusha CBD 👇
Screenshot_20211123-040437_4.jpg
Screenshot_20211216-194022_2.jpg
Screenshot_20211215-182948_2.jpg
usije ukaniwekea hizo aibu zako za Kisumu please
 
Haitawezana na Kisumu kivipi wakati picha za Kisumu tukiweka humu hamuamini macho yenu mnashinda mkizikana!?

Mimi ninachokijua ni kwamba kitu Arusha inashindia Kisumu ni mahoteli tu, and this is by virtue of it being EAC's capital. Besides that hakuna kitu kingine.
Kwani bado unataka kushindanisha kisumu na Arusha? Twende ground?
 
Sasa we jamaa una confess kabisa kwamba Arusha is EAC's capital then uko hapa unaminyana kuilinganisha nA Kisumu village center, ar you mad or something.?
Being a capital/heaquater of anything is no big deal kijana. Dodoma is your capital city, is it developed or better than Dar?

I said it beats Kisumu in hotels because it is the the heaquaters of the EAC. Read to understand
 
Kisumu haiwezani na Arusha hata kwa bahati mbaya, since ARUSHA ni kitovu cha utalii Tanzania and EAC's capital, kwahyo kuanzia CBD to residential buildings pamoja na hotels Arusha inaweza piga hata mombasa, Kisumu is just a joke...
 
Being a capital/heaquater of anything is no big deal kijana. Dodoma is your capital city, is it developed or better than Dar?

I said it beats Kisumu in hotels because it is the the heaquaters of the EAC. Read to understand
Maneno mengi situmii, jitetee kwa picha au video au kubali hii vita sio size yako.. DOM is our capital and it's still underway, it's coming ndio kwanzaa imeanza kujengwa rasmi 2017..
 
Jua kali type, wheres the slipway ama ikiisha itabebwa na crane mpaka kwa maji.
kwani hiyo meli imekaa kwenye nini? over 3 ships r U/C at Mwanza port!

Tanzania has 2 of these state of the art facilities in her lakes! Kunyaland has none!

Mind u Songoro marine has her own workshop!

MY TAKE
Endelea kulinganisha Mwanza the hub of shipbuilding East and central Africa na Kisumu!
 
Jua kali type, wheres the slipway ama ikiisha itabebwa na crane mpaka kwa maji.
We mpuuzi wa kutaka kujilingasha Zanzibar na lamu, nilikua nakutafuta sana we mbwa, hapo kwenu kenya sio lamu tu, hata hiyo Mombasa or any other town in kunya land haziwezani na Zanzibar when it comes to real estate development na hotels, ukibisha twende ground alafu nitakushauri utumie miji yenu yote hizo towns VS Zanzibar alone
 
Siku chache baada ya Forbes kutangaza Lebron James kuwa dollar billionaire, Forbes imetangaza Tiger Woods kuwa dollar billionaire. Michezo huko Marekani inalipa sana inafanya wachezaji wawe dollar billionaires.

Cc tuusan
 
Hiyo ni tamaduni ya Kisumu. In fact, the word boda boda ilianzia hapo Kisumu kabla ya kuenea maeneo mengine hadi sasa imefikia ughaibuni.
View attachment 2264054
If you thought this would help you defend your brothers who have been wowed by Kisumu pics to the point wanazikana then you are wrong!
Hizo za ughaibuni zinapakiza abiria?
 
Rankings za FIFA haizingatii local league performance bongolala. If that's the case, England would be ranked number one in the world but it isn't. Rankings only consider performance ya national team. Umesikia kilaza?
Ngoja nichangie kidogo hapa..mana football/soccer is my fav hobby 😅..
Rankings za FIFA zinatokana na matokeo ya mechi za timu za taifa kwenye calender ya FIFA (yan hizo mechi zinaratibiwa na FIFA).. most times timu za taifa zinafanya vizur sababu ya uzoefu wa wachezaj kimataifa.. mfano Brazil iko juu ya England kirank za FIFA lkn league ya England ni kubwa, maarufu na yenye hela kuliko league ya Brazil..
short point ni kuwa hata wachezaj wenu wako tayar kuja kucheza ligi ya Tanzania kuliko kubaki kenya.. sababu ligi yetu ina hela, interests kubwa na maarufu kuliko yenu.. so ligi yetu ni kubwa na tajiri kuliko yenu..thats the point inayozungumziwa humu ndan
 
Ngoja nichangie kidogo hapa..mana football/soccer is my fav hobby ..
Rankings za FIFA zinatokana na matokeo ya mechi za timu za taifa kwenye calender ya FIFA (yan hizo mechi zinaratibiwa na FIFA)..most times timu za taifa zinafanya vizur sababu ya uzoefu wa wachezaj kimataifa.. mfano Brazil iko juu ya England kirank za FIFA lkn league ya England ni kubwa, maarufu na yenye hela kuliko league ya Brazil..
short point ni kuwa hata wachezaj wenu wako tayar kuja kucheza ligi ya Tanzania kuliko kubaki kenya.. sababu ligi yetu ina hela na interests kubwa kuliko yenu.. so ligi yetu ni kubwa na tajiri kuliko yenu..thats the point inayozungumziwa humu ndan
Mkuu naomba usijibu tena mapunguani, we unawezaje ku engage in battle ya Tshs 600mil vs Tshs 40mil.
 
Ngoja nichangie kidogo hapa..mana football/soccer is my fav hobby 😅..
Rankings za FIFA zinatokana na matokeo ya mechi za timu za taifa kwenye calender ya FIFA (yan hizo mechi zinaratibiwa na FIFA)..most times timu za taifa zinafanya vizur sababu ya uzoefu wa wachezaj kimataifa.. mfano Brazil iko juu ya England kirank za FIFA lkn league ya England ni kubwa, maarufu na yenye hela kuliko league ya Brazil..
short point ni kuwa hata wachezaj wenu wako tayar kuja kucheza ligi ya Tanzania kuliko kubaki kenya.. sababu ligi yetu ina hela, interests kubwa na maarufu kuliko yenu.. so ligi yetu ni kubwa na tajiri kuliko yenu..thats the point inayozungumziwa humu ndan
Nakumbuka Azam tv walipotaka ku-sponsor league ya Kunyaland lilizuka zengwe mpaka waka-withdraw ati kiasi kidogo! saahii wanalipwa Tshs 48 mln kama title winner na hamna TV iliyojitokeza ku-sponsor that rickety league mpaka sasa! IMAO!

CC: Tony254 nairobae
 
Leo kuna mbwa kala kichapo heavy kakimbia mpk sahizi, alitaka kuichukulia poa Arusha, for all Kunyans this is the warning don't try to compare Arusha to any city in Kunyaland because Arusha is the heaven of the world
 
Mwamba kama mwamba.

The Greatest leader and a true patriot of our time - mimi nitamuenzi as long as I live.
 
Back
Top Bottom