Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mbili zipi hizo? Hamna Tarehe na Marriott wenyewe hawajaongelea hiyo GTC project!

This tower will have an international brand 5 star hotel too!
mzizima-towers.jpg




View attachment 2263162



View attachment 2263164
Na bado linajengwa miaka mingapi sasa? haliishi., am sure Nairobi 88 will be finished and filled up before this., besides it's sold already 80% plus!, na bado liko under construction.., Tz has a weak economy., ni mziki na mpira tu, vitu serious nah! 😂 😂 😂 😂 😂
 
Unaweza kufikiri ni primary pupils kumbe ni baba wa mtu anakula mkong'oto uliokithi vigezo kutoka kwa supervisor wake kazini 😂😂😂😂

Wanaume wa kunyaland wanaishi kama digidigi sio wachina sio wazungu sio Wakunya wenzao Yaani ni mwendo wa kisago one-0-one 😂😂😂

 
Back
Top Bottom