Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Even Dar can't have this level of planning, sembuse Tabora.

View attachment 2263435
Nataka za ukubwa huu, unapiga za upande upande kuficha slums

Screenshot_20220616-112720.png
Screenshot_20220616-112604.png
Screenshot_20220616-112540.png
Screenshot_20220616-112642.png
 
Mbona hata kibaki alikua anakung'utwa na mama Lucy? Au habari huna?
Kupigwa na bibi na kupigwa na Boss zote ni upuuzi. Lakini kwa maoni yangu kupigwa na Boss ni upuuzi zaidi kwa maana unaweza kuwacha hio kazi na kutafuta kazi nyingine. Bibi kumwacha kunawezakuwa na ugumu ikiwa kuna watoto kwa ndoa hio. Anyway hata Moses Wetangula alitandikwa na bibi kisha akaenda police station kureport bibi yake. Hahaha nakuambia kuna wanaume wanyonge sana huko nje.
 
Haya mambo yapo complex sana kudeal nayo sababu ni shuruba ambayo mpaka kiongozi wa nchi kaionja, workplace and domestic violences kwa wanaume wa kenya inahitaji uwekezaji mpana ili kukabiliana nao sababu una mawanda mapana, Wababa wa kenya wanagugumilia ndani tu kulinda haiba zao lakini wengi wao wanaonja fresh ya Shamba makazini na majumbani
 
Hii ya wanaume kupigwa na wake zao najua inafanyika hata huko Tanzania. Hata uzunguni upo. Kwanza wanawake wa kizungu ni wabaya sana. Wao wanajua rights zao na huwa wakali sana kwa wanaume wao. Huwezi kumwambia lolote. Afadhali hawa wanawake wetu wa kiafrika ni wapole. Mimi nakueleza tu nilichoona huko nje. Wanawake wa kizungu wapo very empowered, ukimpiga slap moja anakupeleka kwa polisi.
 
Unaweza kufikiri ni primary pupils kumbe ni baba wa mtu anakula mkong'oto uliokithi vigezo kutoka kwa supervisor wake kazini

Wanaume wa kunyaland wanaishi kama digidigi sio wachina sio wazungu sio Wakunya wenzao Yaani ni mwendo wa kisago one-0-one

Umasikini mbaya sana. Anakula kichapo ametulia kama mtoto wa shule, akifikiria kurudisha anaona hana kazi familia itaiishije. Ila kutunza uanaume wako hapo hakuna kufikiria mara mbili mbili bora nifukuzwe lakini utu wangu nimeulinda.
 
Back
Top Bottom