Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Mwanza ni upuuzi mtupu hata Arusha imeishinda.
Mwanza ni upuuzi mtupu hata Arusha imeishinda.
Mwanza inachuana na MombasaMwanza ni upuuzi mtupu hata Arusha imeishinda.
Vichaa wako wengi kule.Kwanza hiyo hospital itakua na vitanda 200 vya wagonjwa, hao madaktari 1100 watakuwa wanafanya shughuli gani au nao watakuwa wagonjwa sometimes?
Tutawafinya kabisa kwenye hili suala la ngorongoro. Kwanza huyu tunacheki ana subscribers wengi sana youtube.
Hao subscribers wake hawana impact yoyote na utalii wetu,njaa tupu wanamsaidia mwenyewe tu aweze kujikidhi na ujobless na njaa za kunyaland,angalia page yenye followers milioni 56 comment za watalii wajao,mtaumia sana na wivu wenu wa kijinga TZ hamuiwezi
Jirani zetu hapo ndio roho zinapowaumaNimepitia idadi ya followers wa page ya Manchester United, wana
Twitter 31.3M
Instagram 58.6M
Facebook 75M
Sijafitilia social sites nyingine..ila hizo tatu zote Man U wamepost hio ishu ya Kilimanjaro.. effortlessly great 🇹🇿🇹🇿👏
That's the way they always reason. Watu wajinga sana!Muulize hyo picha ya awali kama ilipigwa na mtz ndo tujue. Huyu jamaa ushangaza sana jinsi ya kudebate.
Kenyatta ina vitanda vingapi na ina madaktari wangapi?You are a fool. Have you ever heard of outpatient department in an hospital?
Mbona unatafuta huruma kwengine, nioneshe hospital kama Bugando Mombasa saivi kama una ubavuMwanza ni upuuzi mtupu hata Arusha imeishinda.
Biggest port yet 50% ya cooking gas mnapitishia TangaBiggest port in East and Central Africa,,top Ten in Africa 🥰❤View attachment 2261248
Step out of that fishing village ujue yanayoendelea duniani. Hizi accolades ni vitu tumezoea bongolala. Nashangaa mnafurahishwa nazo!Jirani zetu hapo ndio roho zinapowauma
wizi huanzaga hapo!Kwanza hiyo hospital itakua na vitanda 200 vya wagonjwa, hao madaktari 1100 watakuwa wanafanya shughuli gani au nao watakuwa wagonjwa sometimes?
Sasa how do you expect cooking gas kupitishwa kwenye port? Unataka gas iwekwe kwenye hizo containers za port ama? Reasoning ya watanzania saa zingine inatia huruma!Biggest port yet 50% ya cooking gas mnapitishia Tanga
Wapi?
Huyu jamaa ni msahaulifu kweli kweli, keshahau East Africa ina Dodoma the most organized City in East and Central Africa.Sikulaumu naelewa nyie washamba wa South hamna city kama hii huko kwenu. Kwa hivyo sikushangai kwamba huelewi hizi cities zitendelea kujengwa kwa miaka mingi. Watch this space. Konza city is the pride of East Africa. The only city of its kind in East Africa. Huko kwenu hamna kitu kama hiki
Ila kwao huwa wanajenga vitu quality, alafu nilifikiri ndiyo wanatujengea cc hiyo nilishaanza kuchukia aisee.mwonekano wa hii station na mazingira yake pemben unafanana na station ipi hapa east africa?
#ChinaMade #ChineseCulture
Nilikumiss we bi mkora wa mombasani 😁😁😁acha nyege wewe, nawa zoom tu
Hivyo vituo sasa30 Bob to town. The bus is electricView attachment 2261210







