Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Watoe wapi? Ni wivu tu huwasumbuaWivu, nionyeshe Public Children's hospital na IMIC hapo bongo nifunge account sahii. 🤣 🤣 🤣
Utaumia sana, zote zinajengwa according to renders.![]()
![]()
Watoe wapi? Ni wivu tu huwasumbuaWivu, nionyeshe Public Children's hospital na IMIC hapo bongo nifunge account sahii. 🤣 🤣 🤣
Utaumia sana, zote zinajengwa according to renders.![]()
![]()
Wewe unaona wapi tent, si uende uirarue tuone. 🤣 🤣 🤣Hii ni nini ? butthole?
gonga hapa!Wewe unaona wapi tent, si uende uirarue tuone. 🤣 🤣 🤣
Dah kudadeq wallah tena 😅😅😅Nimeshangaa hata mm jibu lake huyo mjinga aisee.
Haya majaruba ya mpunga anayaita city 😅😅😅Mji una nyumba moja nyaya utazionea wapi, hakuna ulinganisho kati ya Dom na Konza.View attachment 2261374View attachment 2261375
gonga hapa!
Waseme wao kuwa na hii nayo ni choo maana mchina mwamba sana anawajengea stations kubwa ili aweze kuwapumbaza ili msiulizie quality ya SGR ila kwao wanajenga stations ndogo according to their demand.Ila kwao huwa wanajenga vitu quality, alafu nilifikiri ndiyo wanatujengea cc hiyo nilishaanza kuchukia aisee.
Interchange in the forest umuhimu wake uko wapi?Sasa hizo ndio ziko na umuhimu, lakini zetu tunazojenga hazina umuhimu wowote?! Sour losers!
Wakenya tayari wameshawasilisha kesi katika international court of Justice (ICJ) na kuishtaki serikali ya Tanzania kwa kukandamiza haki za kibinadamu za wamaasai wa Tanzania.
Kagame anapokea wakimbizi toka mataifa makubwa! sanction itangoja sana! Ndo maana hatuwacheleweshi na upuuzi wenyu Ngorongoro na Loliondo msije mkaja ku-claim hizo sehemu kama dalili zilivyoanza!Rwanda wapigwe sanctions na US na EU. Wanadestabilise DRC for no reason.
Kwamba Eldoret town ipo kwenye forest? 😂Interchange in the forest umuhimu wake uko wapi?
Ukiona hivyo ujue wameshamchoka na malengo yao yametimia. Sasa siku zake zinahesabika.Rwanda wapigwe sanctions na US na EU. Wanadestabilise DRC for no reason.
Mbona hao wote ni wachina!???..ina maana hakuna mkenya anayeweza kufanya hiyo kazi!Pia nawapongeza Wakunya kwa hii control center yenu ya diesel SGR japo sioni umuhimu wa mtungi wa chang'aa kukuwa na control center mixa window 7 nini. Look here every body, the most modern SGR control center in Africa (wamesema wao cku hz wana vitu bora Afrika nzima)View attachment 2251936