Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hujajibu swali kama wanyama walikuwapo kwanini mwendazake alisomba wa Serengeti kupeleka Bugiri-Chato NP? Naomba ujibu bila siasa na histotia nyingi!
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 acheni sifa za kipuuzi mufahamu kua dunia ishabadilika hebu jaribuni kubadilika wajinga nyinyi
The best thing is that keleke utapiga but there's absolutely nothing you can do about this reality.

Remember I mentioned Alkesh apartments? This is it taken in different angles.

It's just next to Tom Mboya Labour College. Now shove it in πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hapo ni Kenya mzee, hiyo picha nmepost mm, huyo anaona aibu hapo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] port inatumia tractors za shambani unategemea efficiency hii ni sawa na kusubiria dafu chini ya mti wa mwembe.
 
Wachana na huyo jamaa. Atakupotezea muda bure.
 
Utauwa watanzania, wasamehe., imetosha, wambie hapo ni Dar Oyster Bay., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] port inatumia tractors za shambani unategemea efficiency hii ni sawa na kusubiria dafu chini ya mti wa mwembe.
Kwa akili hizi maembe no wonder bado Dar port inahandle 17 million tonnes wakati Mombasa inapiga 35 million tonnes.
 
Wewe ni mjinga sana. Unasema kwamba majengo hayajengi uchumi. Unajua kwamba kuna sector nzima ndani ya uchumi ya kila nchi inayoitwa real estate sector?

Real estate huja baada ya kuwa nchi imeshajenga middle class ya kuweza kulipia hizo real estate, sasa nchi haina middle class ya kutosha real estate ita survive vipi?


 
Sijui kinawashinda nini na wapo kwenye uchumi ya uundaji magari [emoji23][emoji23][emoji23]
Halmashauri ziko taabani hazina hela ya kulipa kandarasi ya kuzoa uchafu na zenyewe hazina uwezo hata wa kununua magari ya uchafu. Dar mwaka huu tuu tumenunua gari nyingi sana za uchafu kwa manispaa zetu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huwezi kumchagulia investor biashara ya kufanya ingekuwa ni initiative ya serikali sawa lakini sio.

Ni kweli kuna investor wezi pia wanaopiga Dili la Mabilioni na hawajui wafanye nini na hizo fedha, lkn investor aliyekop benki atajali kama huo uwekezaji unalipa au la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…