Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

With annual PAX turnout of 2M.
Currently the most busiest airport in East and Central Africa
IMG_20220603_023436_204.jpg
IMG_20220603_023611_615.jpg
tapatalk_1919315868_387x516.jpg
IMG_20220603_052108_490.jpg
 
Ukitaka kujua sio kwamba tu tunafanya noma hapa EAST AFRICA Bali tutawatawala soon hawa jamaa pitia hapa . Kwala industrial Park, 200 industries will be built kazi umeshaanza . Ukiachana na mradi wa GAS wa $30 billion na ule mradi wa bomba la mafuta la hoima .. Cc Tony254 kwisha habari yenu
Wacha majirani waendelee tuu kujenga offices kwaajili ya multinationals wakija kuamka unemployment kwetu itakuwa 0% na tuko kwenye higher middle income brackets.
 
Hakuna infrastructure ya kisasa yoyote ambayo ipo Nairobi ikakosa kuwepo Dar lkn kuna infrastructures kibao zipo Dar huwezi kukuta East and Central Africa kila siku nasema na leo imebainika
 
Back
Top Bottom