Nakubali,Ni afadhali tuwauzie izo cheap products until tutakapokua na uwezo wa kuziprocess kua more valuable products, kwa sasa cha muhimu tufanye biashara...
And hey,jitahidini muwekeze shambani,mnakula sana mahindi ambayo hamuyalimi,uchumi wenu bado bro, nchi ilioendelea lazima kwanza watakua wakulima hodari ndio wawekeze viwanda,kuna steps mmeruka na ni ya muhimu...
Ndio maana hadi leo Africa tunahangaika na vita ya Russia vs Ukraine kumbe ni ngano hatulimi ya kutosha,mashamba tunayo tuko apa kujimwambafai na vitu baseless