Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 21,157
- 29,775
Rostam azizi kachachamaa anataka ardhi ya wakoloni babu zakehueezi ona hawa makajamba wa tanzagiza wakikashifu serikali yao.
Rostam azizi kachachamaa anataka ardhi ya wakoloni babu zakehueezi ona hawa makajamba wa tanzagiza wakikashifu serikali yao.
Hilo nalo nenoMambo mengine huwa yanasikitisha sana, sasa kama hatulitaki jengo kisa linafanana na la mkoloni mbona tunashangilia SGR inayofanana na ya mkoloni.



Sasa mbona hamli kukuKatafute census report yetu utaona kila nyumba Kenya haikosi kuku. Duniani kuku ni wengi kuliko binadamu.






Ni kweli mkuu hawatumii ubinadamu kabisa kwenye kuratibu hili zoezi japo population ya wakaazi Ngorongoro inapaswa kuangaliwa kwa jicho la pili, njia za busara zitumike zaidi ya mabavu!Hivi ni vitendo vya kishenzi havipaswi kuchekewa, kama uongozi wa juu umeidhinisha jambo hili kwa kisingizio cha muwekezaji basi tunalaani vikali ushenzi huu. Uongozi wa sasa unajificha kwenye kivuli cha uwekezaji, watu wameishi hapo kabla hata ya hayo mambo ya uwekezaji, iweje wawafosi watoke? Hii haikubaliki na ndiyo sababu Magu alikuwa bega kwa bega na wananchi wanyonge na co kukumbatia mabeberu, hii nchi ni kubwa watafute maeneo mengine ya uwekezaji yapo mengi na co kusumbua raia eti wanaishi na wanyama, shida iko wapi? Wenyewe wanaishi hivyo karne na karne.
Waende wakachukue za Equity sisi hatuzitaki.![]()
Samia atachukua loan tuWaende wakachukue za Equity sisi hatuzitaki.![]()

ni mzanzibari Biashara ya ukahaba inayoongoza kuajiri Nairobi imebuma?Kenya to resume exporting miraa to Somalia in two weeks after President Kenyatta brokered a deal with the country. Kenya to resume miraa exports to Somalia https://t.co/iij1xOView attachment 2256237CUoR
Kama mlizokuwa mkipewa na wakoloni kusaliti nchi nyingine zilizokuwa zinadai uhuru wao. Hii ndio tabia yenu siku zote hatuwashangai.Unajua kilo moja ya mirungi ni pesa ngapi!? Hatuwezi wacha hela kirahisi rahisi.
Hivi mnamjua huyu mtuNi kweli mkuu hawatumii ubinadamu kabisa kwenye kuratibu hili zoezi japo population ya wakaazi Ngorongoro inapaswa kuangaliwa kwa jicho la pili, njia za busara zitumike zaidi ya mabavu!
ROSTAM AZIZI au mnamsikia tuAnything on paper for Kenya I dont trust I have seen alot of stuffs that don't rhyme with situation on the ground.Katafute census report yetu utaona kila nyumba Kenya haikosi kuku. Duniani kuku ni wengi kuliko binadamu.
Ana tuchafulia tu ikulu



Ni kweli serikali kama kweli wanataka kuwatoa Wamasai na kuwapa waarabu (wawekezaji) hio ardhi hamna sababu ya kutumia nguvu . Ni kuweka kikao na wananchi kila jambo liwe open final mwekezaji hawajengee makazi mbadala . Serikali kuwa middle man wanapata lawama hapo maana uadilifu wa civil servants hauwezi kuwa sawa . Hakuna sababu ya kutumia vitisho . Power is nothing without controlNi kweli mkuu hawatumii ubinadamu kabisa kwenye kuratibu hili zoezi japo population ya wakaazi Ngorongoro inapaswa kuangaliwa kwa jicho la pili, njia za busara zitumike zaidi ya mabavu!
Hawa wamasai wa tz wako Kila mahali Kenya wakiuza madawa na vibuyu plus sandals!Sasa mbona jamaa akifungua southerb bypass was busy claiming huwezi wekea maasai mipaka walishe their cattle, and speaking of maasais the number of tz maasais in nairobi ni wengi sana
Hasira hasaraHawa wamasai wa tz wako Kila mahali Kenya wakiuza madawa na vibuyu plus sandals!
Seems Ni maskini sana hadi wanavuka border!!!
Na wako na sura za kiturkana not like Kenyan maasais especially narok ones









Ona hii tahira ya kula mafiii vile inatamani kudondoka kwa utali Tz, yote hii ni chuki ndio inawatafuna,alafu sisi ndio tuwapende wanafki nyieKuna genocide inanukia, waarabu wanataka ardhi ya maasai kwa nguvu. Let's spread the news
Tanzania is not safe for tourism
View attachment 2256297View attachment 2256298View attachment 2256299

Mjinga uyo acha akapumzike analeta umafii na chuki za kitotoAsante Moderator kwa kuwapiga ban wahuni kama hawa wanaotaka kuharibu uzi kwa makusudi kisa tunawazidi maeneo mengi, pia huyo muhuni ana I'd nyingine inaitwa Coco Master pia nayo naomba uipige life ban, na ikikupendeza pia naomba umuangalie kwa makini muhuni mwengine anaitwa nairobae Wakenya tunaomba muwe wastaarabu shida mlizonazo msizilete humu kwenye huu uzi tafadhali.View attachment 2256337
Mbona tuanenda pabaya haraka hivi?...kweli usimamizi umekuwa wa hovyo kiasi hiki?Kulikoni Watanzania?., mambo gani haya? already trending kwenye Jukwaa la Siasa.., wa maasai ni watu wangwana sana, hawanaga maneno na mtu, wanapenda maisha yao ya kitamaduni, nani huyu shetani ibilisi anawakosea heshima??
View attachment 2256391
View attachment 2256392
View attachment 2256395
View attachment 2256396
View attachment 2256397
View attachment 2256398
