Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,394
- 5,803
True. Na wengi wanalala nje au kwa slums wakiwa pamojaHawa wamasai wa tz wako Kila mahali Kenya wakiuza madawa na vibuyu plus sandals!
Seems Ni maskini sana hadi wanavuka border!!!
Na wako na sura za kiturkana not like Kenyan maasais especially narok ones