Hivi ni vitendo vya kishenzi havipaswi kuchekewa, kama uongozi wa juu umeidhinisha jambo hili kwa kisingizio cha muwekezaji basi tunalaani vikali ushenzi huu. Uongozi wa sasa unajificha kwenye kivuli cha uwekezaji, watu wameishi hapo kabla hata ya hayo mambo ya uwekezaji, iweje wawafosi watoke? Hii haikubaliki na ndiyo sababu Magu alikuwa bega kwa bega na wananchi wanyonge na co kukumbatia mabeberu, hii nchi ni kubwa watafute maeneo mengine ya uwekezaji yapo mengi na co kusumbua raia eti wanaishi na wanyama, shida iko wapi? Wenyewe wanaishi hivyo karne na karne.