Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20220610-190822.jpg
 
We shangilia nchi kusambaratika wakati hujui hujma zinazofanywa na NGOs za nchi ya jirani! Yaani maasai wagombee Ngorongoro na Loliondo tu na si Masai mara au Amboseli au Tsavo? Na haiingii akilini kwako wakati yoote ni Maaland? When it comes to land within Tanzania utaskia Maaland cards being played ila land within Kunyaland huiskii hilo!
Wewe unasupport huu upumbavu na unyama ambao mama anaufanya wa kuwafurusha Wamaasai kimabavu? Halafu unasingizia NGOs?
 
Mods please fuatilieni hii I'd kama haitaki kubadilika na kuendana na taratibu za platform yetu hii yenye hadhi kubwa hapa EA basi hakuna haja ya kuwemo humu, piga life ban.
Naona Coco anakufinya k*nde hadi unapiga mayowe. Umefanya apigwe ban kwani amefanya nini?
 
Back
Top Bottom