Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haiwezi hata dollar million 20 ndio maana nikiwaomba mniletee project ya dollar million 20 bank yenu iliwahi kufinance nikaambulia matusi

Banks zenu ni za mama mbogaz na wauza maziwa!
Wewe ni mjinga. Nitakupuuza tu. Sitaki ujinga.
 
Duh..yaani of all the banks kaona akakope Kunyaland? Tena sector ambayo tuna comparative advantage sio?
Kwenu mtoe wapi hela? taifa fukara, banking sector bado., one Kenyan bank makes profits than 5 combined banks in Tz., 😂 😂 😂 😂
 
Total asset valuation ya Equity bank ni worth $10 billion. Sasa nenda kalilie chooni Mr. Wivu. The same asset valuation applies to KCB bank. Hizo banks mbili zina total asset valuation ya $20 billion.
Sasa tony najua wewe ni mtu wa Accounts kwenye course uliyosoma kama equity valuation ni 10b na inakopesha 6bn more than half of its valuation kwa mteja mmoja huoni kuna ukakasi hapo kwa sheria za kibenki? Ikumbukwe pia hii total valuation ni inclusive of immovable assets ambazo sio currency kwenye biashara hence tunatarajia assets for loaning purposes in terms of deposits ziwe chini ya hiyo 10bn. Alafu take into account loan portfolio ya equity mpaka sasa ni kiasi gani ndio ujue how much money iko kwaajili ya kukopesha. Piga hizo factors zote uje na majibu hapa. Otherwise you have to agree or disagree with me kama msomi aside from blind patriotism.
 
Cc coodip1 sio kulala kwa maana ya kukesha hapana namaanisha ile ndege ya Dar-Mumbai ya jumapili itaamkia Mumbai siku ya Jumatatu saa 4:20 am zen siku ya Jumatatu saa 5:50 am itaondoka kule kuja Dar, the same applies to TC aircraft ya jumanne kule Mumbai itatoka huku Jumatatu.
Ok mimi nilisema hivyo maana ulisema kutakuwa na dreamliner nyingine ya pili siku ya J3 hapo ndipo nilipotaka kusahihisha.
 
Mbona unaokota history, unakwepa "present continuous tense"(clip ya jana, June 2022)., umepata tabu sana, pole kwako, ngojeeni 25 years mbele ndio mjilinganishe
Toeni mauchafu yaliyozunguka ka Nairobi kwanza ndio mje kushindana hapa, I have more than 100 dirty pictures that I can share with you if you request for.
 
Unakuta mtu anashangilia TC kuanzisha safari sehemu fulani huku anatia na vineno "mama anaupiga mwingi" sasa mtu unajiuliza huyu mama angeweza kununua japo Q400 moja huyu ikiwa msoga ilimshinda? Mwingine utakuta anaandika bila aibu "bwawa la JNHPP kazi inaendelea" alafu hapo hapo anaweka vineno vya kejeli kwa mtangulizi aliyeanzisha huo mradi uliowashinda viongozi wote wenye akili kuliko huyu.

Tanzania aiseee tuna malaya wa kisiasa wengi sana, mm nilishaacha kuangalia TV mana umalaya uliopo kwenye station zetu ukianza na TBC hauvumiliki.
Tatizo ni ufukara na uchumi hafifu, sio mama, wacha visingizio, jikubalini ba mzee, nchi ni fukara😂😂😂, Equity Bank ipo tayari kuwakopesha mmalize miradi., taifa halina hela, nyie wazembe, mikusanyiko ya ushuru na mapato ni kidogo 😜 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Toeni mauchafu yaliyozunguka ka Nairobi kwanza ndio mje kushindana hapa, I have more than 100 dirty pictures that I can share with you if you request for.
Unataka nilete google earth tudhibitishe kati ya Nairobi na Dar gani ni utopolo na ufukara? 2022 real time, niko free sana ba mzee, Tanzania ya leo haunidanganyi na vi propaganda., utalilia kwa choo 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Yeah moja inatoka mumbai asubuhi..nyingne inapanda usiku mumbai
So simply ni kwamba hakuna ndege italala Mumbai but zote zitashinda pale kipawa lkn zote sasa zitafanya kazi hakuna kulala kama mwanzo na flights zikiongezeka (lazima ziongezeke mana wahindi ni wengi mno na wanasafiri kila siku) itafika kipindi itaonekana dreamliner moja tu pale kipawa mana naona kabisa route ya Mumbai ya asubuhi kuwepo in the near future.
 
Tatizo ni ufukara na uchumi hafifu, sio mama, wacha visingizio, jikubalini ba mzee, nchi ni fukara, Equity Bank ipo tayari kuwakopesha mmalize miradi., taifa halina hela, nyie wazembe, mikusanyiko ya ushuru na mapato ni kidogo
Kwamba Equity bank itaikopesha serikali ya Tanzania $6bn, ndio yale yale ya kusema mna GDP ya $109bn wkt mradi tu wa kujenga 5km za road mnaenda kuomba mkopo France
 
Back
Top Bottom