Total assets zake ni ngapi? Acha porojo hapa.Punguza wivu. Equity ni top 25 biggest bank in Africa
Total assets zake ni ngapi? Acha porojo hapa.Punguza wivu. Equity ni top 25 biggest bank in Africa
Hiyo ndege itakayotoka Mumbai kuja Dar siku ya Jumatatu itakua ilienda huko lini?.Hapana hakuna utata, hapo kuna 400 ya kutoka Dar kwenda Mumbai na pia kuna 401 ya kutoka Mumbai kuja Dar. Mwanzoni ilikuwa ni dreamliner moja tu inayotakiwa ku operate but now zitakuwa zinapishana angani mana itakuwa ni route ya kila siku.
Kenya tunashikilia uchumi wa danganyikaLeo nimejifunza equity bank ndio biggest lender wa Tanzanian government.
We nae bure kumbe, unaamini maneno ya huyo mwehu kwamba equity inaweza kukopesha Tanzania hayo matrilioni? Mtaji wote na mali za equity hazifiki hata robo ya hicho alichoandika, sasa aikopeshe serikali ya Tanzania trillion zaidi ya 15 anaitoa wapi?Wakati James Mwangi alikuja Ikulu kukutana na Mama wewe Geza Ulole ulimtukana sana na kumuita mwizi. Sasa hukujua wanazungumza nini. James alikuwa amealikwa na mama wazungumze jinsi Equity bank itaikopesha Serikali ya Tanzania. Wewe jua kwamba hii nchi unayoiita Kunyaland ni superpower kwenye sector ya benki ukanda huu. Chuki yako dhidi ya Kenya haitobadilisha huo ukweli.
Cc joto la jiwe
tuusan
Angalia hiyo ratiba, alafu angalia muda, kumbuka ndege ikitoka hapa saa 7:50pm siku ya Jumatatu inafika kule saa 4:20am siku ya jumanne zen saa 5:50am siku hiyo hiyo ya jumanne inaondoka kule inafika huku saa 9:20am siku hiyo hiyo ya jumanne usiulize muda unakuwaje hapo ni kwamba India ipo mashariki ya Tz.Hiyo ndege itakayotoka Mumbai kuja Dar siku ya Jumatatu itakua ilienda huko lini?.
Kwasababu, ile iliyotoka Dar Jumatatu itarudi kesho yake Jumanne.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Equity bank inatoa mikopo ya mabilioni kwenye sector ya kilimo Tanzania, inafanya mamilioni ya Watanzania wawe mamilioneaWacha ujinga. Equity bank iwache kuwa bank ianze kuendesha mines? Leta ushahidi ya unachosema. Angalau ningekuelewa ikiwa ungesema Equity bank inataka kutoa mikopo kwa mining companies hapo Tanzania.
Hiyo ndege itakayotoka Mumbai kuja Dar siku ya Jumatatu itakua ilienda huko lini?.
Kwasababu, ile iliyotoka Dar Jumatatu itarudi kesho yake Jumanne.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Joto angalia hapa, kuna route ya kutoka Dar kwenda Mumbai siku ya jumapili ambapo itafika Mumbai siku ya Jumatatu 4:20am so hyo hyo equipment ndiyo itakayotoka Mumbai siku ya Jumatatu saa 5:50 am na kuwasili Dar cku hyo hyo ya Jumatatu saa 9:20 am.Hiyo ndege itakayotoka Mumbai kuja Dar siku ya Jumatatu itakua ilienda huko lini?.
Kwasababu, ile iliyotoka Dar Jumatatu itarudi kesho yake Jumanne.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Total asset valuation ya Equity bank ni worth $10 billion. Sasa nenda kalilie chooni Mr. Wivu. The same asset valuation applies to KCB bank. Hizo banks mbili zina total asset valuation ya $20 billion.Total assets zake ni ngapi? Acha porojo hapa.
Wewe Mpumbavu hebu nionyeshe wapi nimesema hiki?We nae bure kumbe, unaamini maneno ya huyo mwehu kwamba equity inaweza kukopesha Tanzania hayo matrilioni? Mtaji wote na mali za equity hazifiki hata robo ya hicho alichoandika, sasa aikopeshe serikali ya Tanzania trillion zaidi ya 15 anaitoa wapi?
Cc coodip1 sio kulala kwa maana ya kukesha hapana namaanisha ile ndege ya Dar-Mumbai ya jumapili itaamkia Mumbai siku ya Jumatatu saa 4:20 am zen siku ya Jumatatu saa 5:50 am itaondoka kule kuja Dar, the same applies to TC aircraft ya jumanne kule Mumbai itatoka huku Jumatatu.Joto angalia hapa, kuna route ya kutoka Dar kwenda Mumbai siku ya jumapili ambapo itafika Mumbai siku ya Jumatatu 4:20am so hyo hyo equipment ndiyo itakayotoka Mumbai siku ya Jumatatu saa 5:50 am na kuwasili Dar cku hyo hyo ya Jumatatu saa 9:20 am.
View attachment 2256083
Total asset mpaka kofia ya watchman 😅😅😅Total asset valuatipn ya Equity bank ni worth $10 billion. Sasa nenda kalilie chooni Mr. Wivu. The same asset valuation applies to KCB
Cash in hand ambayo wataweza kutoa $6B ni kiasi gani?Total asset valuation ya Equity bank ni worth $10 billion. Sasa nenda kalilie chooni Mr. Wivu. The same asset valuation applies to KCB bank



Nimekupata mkuuJoto angalia hapa, kuna route ya kutoka Dar kwenda Mumbai siku ya jumapili ambapo itafika Mumbai siku ya Jumatatu 4:20am so hyo hyo equipment ndiyo itakayotoka Mumbai siku ya Jumatatu saa 5:50 am na kuwasili Dar cku hyo hyo ya Jumatatu saa 9:20 am.
View attachment 2256083
Sioni kama wataweza kutoa mikopo ya $6 billion kwa wakati mmoja. Equity bank haina huo uwezo.Cash in hand ambayo wataweza kutoa $6B ni kiasi gani?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mpo wehu wawili, nimemaanisha mwehu number 1 😅😅😅Wewe Mpumbavu hebu nionyeshe wapi nimesema hiki?
🤣 🤣 🤣 Ukichafua tunasafisha.
Nyuma yake panakaa hivi







,Tony254sasa Equity bank total assets $7 bln itawezaje kukopesha $5 bln! Peleka ujinga Ukunyani! That financing arrangement itakuwa funded na Governments of Sweden and Denmark!
An arrangement similar to this
Equity Bank, Pass Trust targets to lend loan portfolio to agribusiness
13Sep 2021
The Guardian Reporter
DAR ES SALAAM
News
The Guardian
Equity Bank, Pass Trust targets to lend loan portfolio to agribusiness
IN a major shift on how banks avoid lending to the agriculture sector due to risks, Equity Bank Tanzania is targeting to give at least 30 percent of its loan portfolio to the sector.
![]()
Speaking in Dar es Salaam during a memorandum of understanding with PASS Trust to provide financing to agribusiness enterprises, Equity Bank Tanzania’s Managing Director, Robert Kiboti said Agriculture being the backbone of the country’s economy has a lot of potential to unleash.
“At Equity Bank, agriculture is our priority area, and we are targeting agriculture loans to read at 30 percent of our general loan portfolio. We are delighted to join forces with PASS Trust to facilitate access to agricultural financing by agribusiness entrepreneurs in Tanzania,” Kiboti said.
Among other things, the MoU with Private Agricultural Sector Support Trust to allows the bank to disburse loans to agribusinesses in the country to build capacities and increase productivity. The targeted agribusiness entrepreneurs include individuals, Micro, Small, and Medium Enterprises (MSMEs), large enterprises, Micro Finance Institutions (MFIs), and associations which will receive low-cost loans backed by the PASS Trust Credit Guarantee Scheme.
In remarks at the signing ceremony, PASS Trust Managing Director, Yohane Kaduma hailed the enhanced partnership with Equity Bank terming it as an excellent opportunity for agribusiness entrepreneurs in the country.
“The entry of Equity Bank into PASS’ pool of collaborating financial institutions brings to 14 the number of banks that PASS Trust is working with in enabling access to agricultural credit through the PASS Guarantee Scheme,” Kaduma said.
“And we invite even more financial institutions to join this pool of PASS’ collaborating banks so that many more Tanzanians engaged in agribusiness can be able to access credit and increase productivity,” Kaduma added while stressing that PASS Trust wants to continue working as a bridge and catalyst in spearheading access to affordable loans to agribusiness entrepreneurs.
In this operating agreement with Equity Bank, PASS will provide between 20-60 percent credit guarantee to top up inadequate collateral to enable clients to get financing. Women-led agricultural projects will benefit with up to an 80 percent. Over 1.7 million agribusiness entrepreneurs have benefited from the PASS credit guarantee scheme since its inception in the year 2000.
Since 2017, the PASS Trust supported the total value of loans amounting to 6.7bn/- with a credit guarantee commitment of 2.6bn/- under the agricultural value chain. The total credit guarantee fund deposited by PASS Trust at Equity Bank to benefit agricultural entrepreneurs is USD 1.0 million or an equivalent to 2.3bn/-.
![]()
PASS Trust
PASS Trust is an organization established in 2000 as a project by the Government of Tanzania under the Danish Government’s Agricultural Support Program, and started operations in 2002, where in 2007 after achievements of the project, it was officially registered as the PASS Trust.pass.or.tz
Haiwezi hata dollar million 20 ndio maana nikiwaomba mniletee project ya dollar million 20 bank yenu iliwahi kufinance nikaambulia matusiSioni kama wataweza kutoa mikopo ya $6 billion kwa wakati mmoja. Equity bank haina huo uwezo.