joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hahahaha, wewe argument yako ni hovyo Sana, kwahiyo wewe hujali mamilioni ya watanzania wanaoteseka badala yake unajilinganisha na watu 300 wanaoishi vizuri na wewe unawatumia hao wabunge kuwa ndio "role model" wako, huo Sasa ndio ubinafsi, Kama hujui watu binafsi wakoje, jitizame wewe, huna sababu ya kutoka nje ya chumba chako ili kutafuta watu wabinafsi," very good example of selfish person is tuusan"Tusihame kwenye mada,
Hivi mbunge ambae ni waziri analipwa milioni ngap?
Yani tukisema watu wanaotafuna hii nchi na sisi mnatutaja kweli ?sisi tunawahudumia watz kwa ujira mdogo wewe mwenyewe unakiri hapo Au ulitaka hizi kazi tuzifanye bure mjenge barabara na vituo vya mabus tu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
