The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
We bwege vp mbona umekuwa mpole sanaKuna mmtu amemega bahari hapo











We bwege vp mbona umekuwa mpole sanaKuna mmtu amemega bahari hapo











Nilisema kwamba baadhi ya shutuma za Magufuli Zina ukweli, hasa kuhusu Chato, lakini hizo zingine za Kaskazini, ukabila na zingine hizo sio sawa.Controversy surfaces over Burigi-Chato national park naming
THURSDAY JUNE 09 2022
![]()
Burigi National park in Chato. Photo file
Summary
- The National Park -- which is located close to Lake Victoria and surrounded by Kagera River while encompassing Lake Burigi - was established in 2019.
![]()
By George Helahela
More by this Author
Dar es Salaam. A tug of war is simmering over entrance revenues for the Burigi-Chato National Park between Biharamulo District in Kagera Region and Chato District in Geita Region.
This came out in the open yesterday when a legislator demanded to know the wisdom behind the naming of the wildlife protected area.
The National Park -- which is located close to Lake Victoria and surrounded by Kagera River while encompassing Lake Burigi - was established in 2019.
Its establishment was initiated during President John Magufuli’s administration, whereby some wild animals from other parks were transferred to the area.
But speaking during President Samia Suluhu Hassan’s stopover in Biharamulo District on her way to Bukoka District, West Biharamulo lawmaker Ezra Chiwelesa said people of Biharamulo were unhappy with the name given to the national park.
Their unhappiness, according to him, stemmed from the fact that the name suggested that the national park was located in Chato while in fact, it was largely in Biharamulo.
Its current name, he said, meant that revenues from the tourist attraction was meant for Chato District.
“The park was established after merging Biharamulo Game Reserve and Kiwisu Game Reserve in Chato so the people of Biharamulo claim they have been deprived of their reserve. After all, while they have been deprived of their reserve, why should it be located just about 10 kilometres away from their land and yet it is known as Chato?” he asked.
He said with its closeness to Biharamulo, there was no way that one would enter the National Park without passing through the area [Biharamulo].
“Its entrance gate is located about 80km from Biharamulo. This could make tourists get tired due to the long distance they have to cover,” he added.
He asked President Hassan to change the name of the park and locate another entrance gate from Biharamulo District.
“Our request is that the park should be named Burigi because that [Burigi] is actually the name of the lake found in the middle of two games reserves that were merged. We also request another entrance gate to be allocated here in Biharamulo so that visitors could not go far past here,” he requested.
Responding, President Hassan said there was no controversy in the name of the park, noting that the issue of entrance gate would be resolved.
“Concerning the Burigi issue, there is no controversy in the name because I know the park is called Burigi but the gate issue I am going to work on,” she said.
![]()
Controversy surfaces over Burigi-Chato national park naming
A tug of war is simmering over entrance revenues for the Burigi-Chato National Park between Biharamulo District in Kagera Region and Chato District in Geita Region.www.thecitizen.co.tz
CC: joto la jiwe
cc tuusan
The cure of inflation
Acha waseme mabwana zao maana tukisema sisi tunaitwa sukuma gang
Wacha kuleta utani , ilo nalo ni daraja au uchochoro, unajua kabisa Mwanza kuna ujenzi wa magu bridge lenye stretch ya 3.2 km....ficha huo uchafuMakupa Bridge, Mombasa.
Sama boy 255 bado unataka battle ya Mombasa vs Mwanza?
View attachment 2255593View attachment 2255594
Cc ichoboy01
Sio hilo tuu hata ndani ya Nchi alipandikiza mbegu mbaya sana kama ujuavyo Nchi yetu ina folish wengi Sana kwa hiyo mpaka wakaondokane na huo ujinga waliojazwa itachukua mda.SSH realized the bad blood Magu had planted between Kenyans and Tanzanians and in an effort to mend fences, she chose Kenya as the first foreign nation to visit as a president. Her quick rejoinder is somehow bearing fruits if bilateral trades between these two countries is anything to go by since since took over power
Huelewi hata maana ya hicho unachoita fiscal policy,kwa hiyo fiscal inaondoa au kupunguza money M3 kwenye uchumi? 😆😆😆😆Apa naona huleti fact tena bali siasa na miemko,ukiniambia private sector ilishuka ningekubaliana na ww ni kweli kabisa , kuna sera mbili zinazo bana na kuachia pesa kwenye mzunguko ambanzo ni monetary na fiscal policies, kipindi cha mwenda zake alitumia sana fiscal policy , ndio mana gvt ilikuw km center of everything...
Ila akuna haja tuachie hapa umesha ingiza siasa kwenye uchumi.
Huyu hapa Katibu Mkuu Uwekezaji akitia neno Kuhusu ujuha wa Mwendazake kwa kukurupuka alivyojaribu FDI na alichofanya SSH 👇Wewe angalia industrial output wakati wa kikwete then compare na output wakati wa JPM hata exports za bidhaa za viwandani zilishuka sana wakati wa kikwete tulishafika US 1.2bn ikashuka mpaka 400m
Kenya's CBC is the best education curriculum in Africa.
Battle za best in East and Central Africa tuliwacha, sikuizi tunachezea continental level, regional level tumewachia wabongo and others
Sema wabunifu tz hakuna kabisa hiyo ikulu ipo hovyo kabisa ....kuna tatizo kubwa kwenye sekta ya ujenzi katika design hapa nchini au kuna ufisadi ,nikama sgr yetu terminal ya dar kunakosa kubwa kwenye sakafu ya kwanza ya lile jengo mlango wake kama pango ...kwandani lipo sawa ila nje kwenye maingilio ni kama kiotaNaona kama tayari.. Ni kuhamia tu Sasa.
Mwenye picha zaidi aweke...
Mental disorder is real.Sema wabunifu tz hakuna kabisa hiyo ikulu ipo hovyo kabisa ....kuna tatizo kubwa kwenye sekta ya ujenzi katika design hapa nchini au kuna ufisadi ,nikama sgr yetu terminal ya dar kunakosa kubwa kwenye sakafu ya kwanza ya lile jengo mlango wake kama pango ...kwandani lipo sawa ila nje kwenye maingilio ni kama kiota
what am trying to mean here is tht magafuli was very bitter with kenya because tanzania has wht it takes to make it the dorminant economy in this eastern and central africa region. not only does tz has a huge chunk of landmass 950,000km².! (which is almost 2× the size of kenya). but it's also 95% green and fertile.. tz is endowed with the most sought after rare earth minerals includng tanzanite and gold, and not forgeting tht its the 3rd producer of gold in the entire continent. tz also has a larger population... all that said, you still however find tht kenya, a smaller country by land mass and population and which is about 75% arid or semi arid, still consistently outperform its rival southern neiba in each and every sector year on year. so whatever magaful was all upto, to act ill against kenya, is brewed out of extreem jealousy, hivi kwamfano ata kunyima wakenya work permit ama ata hizo ngombe zetu zote 1,300 hangeziwachilia tu ivo.!Why are you soo kin for a Tanzanian president to like or hate Kenya?, He/she is not a Kenyans' president, does it affect Kenya in any how?![]()
![]()
, really Tanzania is the Kenya's most important African country. We Tanzanians never think anything whether Uhuru Kenyatta likes or hates Tanzania, to us it is irrelavant.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bila kumsahau Diallo.Kwani Azory Gwanda alitokea kaskazini?, Nilikuambia kwamba Magufuli alikua ni mtu katili, kiburi na alikua anakandamiza uhuru wa kisiasa, lakini hakuwa akilenga jamii Fulani, vitendo vyake vya kikatili walifanyiwa watu wote bila kujali kabila Wala jamii Fulani, kwanini umewekeza nguvu nyingi huko Kaskazini?.
Hili shamba la Mbowe, sababu za kuharibiwa zimeelezwa wazi kwamba alilima katika chanzo cha maji, jambo ambalo limekatazwa na Katiba ya nchi, alipewa miezi 4 kusitisha kilimo lakini hakutii Sheria za Nchi, yeye ni nani asichukuliwe hatua?, Mbona huzungumzii kitendo cha Mo Dewji kunyang'anywa mashamba ya Mkonge kule Tanga baada ya kushindwa kuyaendeleza, mbona huzungumzii kunyang'anywa mashamba ya Sumaye kule Morogoro, au kuchukuliwa kwa viwanda toka kwa matajiri walioshindwa kuviendeleza nchi nzima, wewe umekazania Kilimanjaro"specifically Mbowe?"
Mdude kutoka mkoa wa Mbeya, wanunuzi wa korosho huko Mtwara na Lindi, wote waliathirika kwa namna Moja au nyingine, Rugemarila na Seith, wote walikutana na Joto la utawala wa Magufuli, Nape Moses Mnauye alitolewa bastola hadharani, Kinana na Makamba walitukanwa hadharani na Musiba bila hatua zozote kuchukuliwa, kwanini usiwatetee hao wote badala yake unashikilia watu wa Kaskazini?, mkuu wewe una chembechembe za ukabila sio bure.
Mkuu, kusimikwa kwa Samia kuwa chief Mimi inanihusu nini, tunazungumzia Magufuli hapa, Samia ameingiaje, kwanini unataka kujishusha kiasi hicho?," I thought you are much better than this".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wacha mambo yako lwiva hiyo ikulu iko poa, ulitaka iweje? Tangu kujengwa kwake Magu alishasema itafanana na ya Dar, sasa unavyoona haifanani na ya Dar? Badala uwasifie wajenzi wamejitahidi mpk tofauti haionekani unaanza kulaumu, ulitaka iweje? Ifanane na ya USA? Hiyo ikulu iko poa na haina kasoro, msitake kufanya kila kitu kikidhi matakwa yenu, kuna mengine tulidhike na kilichopo mana hakikuwepo before.Sema wabunifu tz hakuna kabisa hiyo ikulu ipo hovyo kabisa ....kuna tatizo kubwa kwenye sekta ya ujenzi katika design hapa nchini au kuna ufisadi ,nikama sgr yetu terminal ya dar kunakosa kubwa kwenye sakafu ya kwanza ya lile jengo mlango wake kama pango ...kwandani lipo sawa ila nje kwenye maingilio ni kama kiota
Stupid design ....very stupid design ...huu ni upigaji wa pesa tu hivi tz hakuna madesign wapya na bora kuliko hivi vituko sasa hiyo ni ngome ya jeshi au gereza la wafungwa



Amenshangaza sn anaponda ikulu ya Dom wkt Magu alishasema wanaamisha ile ya Dar kama ilivyo iende Dodoma, sasa anatakiwa ampinge Magu asipinge wajenzi, kwnn hatupendi kulidhika?
sasa hii nayo ni bridge ??🤣🤣🤣🤣 Tony254 hebu kua serious plzMakupa Bridge, Mombasa.
Sama boy 255 bado unataka battle ya Mombasa vs Mwanza?
View attachment 2255593View attachment 2255594
Cc ichoboy01
Anavaa akiwa kazungukwa na ngozi nyeusi kwa sasa ...akikutana na kina Rostam na gsm wala avai barakoa
Matunda ya royal tour sio